Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

Wang chung

Member
Joined
Oct 26, 2024
Posts
33
Reaction score
61
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%.

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Kilimo kamali kwaiyo kunakupata na kukosa yote sehemu ya mchezo
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Acha na viazi mkuu, kwa wakulima mtaji mdogo ni kutengeneza umasikini tupu
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Kwa mara ya kwanza nimempata mtu aliyepata hasara kwa kutia mbolea nyingi zaidi. Wengi huwa wanatia mbolea kidogo kwa ubahiri.
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Hiyo hasara uliyopata ni ndogo
Shukuru umerudisha hata milioni na umejua wapi ulikosea

Mimi mwaka HUU 2026 nimelima hekari Moja. Nilitarajia nipate gunia 14 Hadi 16 za mahindi, ila nimepata mahindi hata gunia halifiki.

Mvua iliharibu mahindi, pia mbegu waliyopanda ni tofauti na niliyowaagiza

Kwa hiyo nimekula hasara, ila sijakata tamaa. Maana Gharama niliyotumia kukodi shamba, kulima, kununua mbegu, kupanda , palizi ,kuweka mbolea haijarudi hata robo.

Ila sijakata tamaa, Mwakani talima Tena inshaallah.
 
Mimi pia uwa nalima , huo wewe ni mkoa gani .
 
Tatizo hamtafuti ushauri kutoka kwa mrembo mkulima namba moja duniani. Ndio maana mnapata hasara.
Screenshot_20260315_235620_Instagram.jpg

MamaSamia2025
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Wazee wa kipalila wapi hiyo maeneo
 
Kilimo ni kilimo tu mwaka 2019 nililima mpunga eneo zuri saana (maguba malinyi) heka mbili nilivuna gunia nne kumbuka ni mbuga hapo.
Sikukata tamaa mwaka huu nimelima mpungu nimevuna vizuri tu kimbembe ni kuwa mwaka huu huu tena nmelima ufuta heka 8 nimepata kilo 18 tu za ufuta😀😀
 
K
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Kosa ulilofanya ni kulima msimu wa mvua.

Viazi havihitaji maji mengi pia ugonjwa wa kuvu hushambulia zaidi msimu wa mvua .

Na huenda ulizembea kupiga dawa za ukungu { ridomil
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Pole na Kila la kheri,wapi huko?
 
Hiyo hasara uliyopata ni ndogo
Shukuru umerudisha hata milioni na umejua wapi ulikosea

Mimi mwaka HUU 2026 nimelima hekari Moja. Nilitarajia nipate gunia 14 Hadi 16 za mahindi, ila nimepata mahindi hata gunia halifiki.

Mvua iliharibu mahindi, pia mbegu waliyopanda ni tofauti na niliyowaagiza

Kwa hiyo nimekula hasara, ila sijakata tamaa. Maana Gharama niliyotumia kukodi shamba, kulima, kununua mbegu, kupanda , palizi ,kuweka mbolea haijarudi hata robo.

Ila sijakata tamaa, Mwakani talima Tena inshaallah.
Pole mkuu!
 
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .

Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.

Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na betting
 
Back
Top Bottom