Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

Mi nililima chinese robo eka kuna fala mmoja akanambia nipige na dawa ya ukungu aisee majani yaliungua yote nilipata hasara kubwaaa sana elfu 50 kuanzia hapo sijawah kulima
 
Back
Top Bottom