Wang chung
Member
- Oct 26, 2024
- 33
- 61
Kilimo kamali kwaiyo kunakupata na kukosa yote sehemu ya mchezoMwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Kukosa kuko kwenye kila kituu mkuuKilimo kamali kwaiyo kunakupata na kukosa yote sehemu ya mchezo
Acha na viazi mkuu, kwa wakulima mtaji mdogo ni kutengeneza umasikini tupuMwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Kwa mara ya kwanza nimempata mtu aliyepata hasara kwa kutia mbolea nyingi zaidi. Wengi huwa wanatia mbolea kidogo kwa ubahiri.Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Hiyo hasara uliyopata ni ndogoMwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Mimi pia uwa nalima , huo wewe ni mkoa gani .Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Tatizo hamtafuti ushauri kutoka kwa mrembo mkulima namba moja duniani. Ndio maana mnapata hasara.Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Wazee wa kipalila wapi hiyo maeneoMwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Kosa ulilofanya ni kulima msimu wa mvua.Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Ni kweli kwenye kilimo cha viazi msimu wa mvua ukizidisha mbolea ya CAN basi viazi vinaoza.Kwa mara ya kwanza nimempata mtu aliyepata hasara kwa kutia mbolea nyingi zaidi. Wengi huwa wanatia mbolea kidogo kwa ubahiri.
Pole na Kila la kheri,wapi huko?Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara kubwa sana kwa sababu niliwekeza million 2.5 afu nikapata milioni moja tu.
Makosa niliyofanya ni kuzidisha mbolea ya kukuzia CAN na kubana sana mistari.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana ila Bado sijakata Tamaa mwezi wa saba naingia kilima viazi vya kumwagilia.
Karibuni kuchangia mada Ili tujifunze
Pole mkuu!Hiyo hasara uliyopata ni ndogo
Shukuru umerudisha hata milioni na umejua wapi ulikosea
Mimi mwaka HUU 2026 nimelima hekari Moja. Nilitarajia nipate gunia 14 Hadi 16 za mahindi, ila nimepata mahindi hata gunia halifiki.
Mvua iliharibu mahindi, pia mbegu waliyopanda ni tofauti na niliyowaagiza
Kwa hiyo nimekula hasara, ila sijakata tamaa. Maana Gharama niliyotumia kukodi shamba, kulima, kununua mbegu, kupanda , palizi ,kuweka mbolea haijarudi hata robo.
Ila sijakata tamaa, Mwakani talima Tena inshaallah.
Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na bettingMwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .