Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Jul 19, 2026 #21 Pdidy said: Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na betting Click to expand... Acheni kudanganyana wewe ulimuona wapi mtu aliekuwa kichaa kisa hasara?
Pdidy said: Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na betting Click to expand... Acheni kudanganyana wewe ulimuona wapi mtu aliekuwa kichaa kisa hasara?
captai JF-Expert Member Joined Mar 29, 2026 Posts 524 Reaction score 1,010 Jul 21, 2026 #22 Mi nililima chinese robo eka kuna fala mmoja akanambia nipige na dawa ya ukungu aisee majani yaliungua yote nilipata hasara kubwaaa sana elfu 50 kuanzia hapo sijawah kulima
Mi nililima chinese robo eka kuna fala mmoja akanambia nipige na dawa ya ukungu aisee majani yaliungua yote nilipata hasara kubwaaa sana elfu 50 kuanzia hapo sijawah kulima
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,913 Reaction score 2,662 Jul 26, 2026 #23 Pdidy said: Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na betting Click to expand... CHinese maji na mbolea inatosha akuna haja ya madawa
Pdidy said: Wenzio wamekuwa vichaaaaa unasema kuzimiaa shehe na mpaka sasa vimegoma kupona hio biashara sawa na betting Click to expand... CHinese maji na mbolea inatosha akuna haja ya madawa