Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend

Mkuu, smartphones 20? Hii sio nchezo kabisa mzee baba. Hakika wewe ni mtu mwema. Mungu akubariki aisee...
 
Mwaka huu nilichukua begi sio langu maana yalikuwa yamefanana rangi ila muundo ni tofauti ila kwa bahati nzuri niligundua mapema kabla gari haijaondoka na kufanikiwa kurudisha na kuchukua begi langu begi nililotaka kubeba lilikuwa la mwana mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…