Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.
Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.
Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?
Ulikubali au ulikataa?