Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?
 
Huwa natongozwa na Wanawake Mara Kwa mara, wengi ni Kwa mitego ,wenye uthubutu ndio hunianza nao ni wachache.

Ninakula sana kimasihara Kwa Hilo kundi la kwanza lenye kunitega, Huwa silembi, nikishaona dalili, namsukumia nyama.
 
Uwiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…