Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

1. Yes nimetongozwa mara nyingi
2. Niliona kawaida sio ajabu kutongozwa
3. Kila aliyenitongoza kwa dhati kwangu huwa namheshimu...ikiwa sitamkubalia nitampa heshima ya pekee, nitamheshimu kama alivyoziheshimu hisia zake akanitokea. ...nampa heshima kubwa na nitampa majibu yasiyovunja moyo.

Usimvunje moyo aliyekupenda...mpe sababu...mfano.

Dada ninashukuru mno kwa ujasiri wa kipekee.
Nimejisikia vizuri kusikia unanipenda...bahati mbaya nina mtu ambaye tuna uhusiano siriaz.....sipendi nikukubalie then nije kukuvunja moyo.
Nisamehe kama nitakuudhi kwa majibu haya plz.

Hiyo kauli nimeweka tu kama kauli ambayo unaweza kuitumia usimvunje moyo aliyeonyesha hisia za kweli kwako.
hamnaga namna nzuri ya kumkataa mtu, kukataliwa ni kukataliwa tu
 
Nishawahi kutongozwa live live yani uso kwa uso kama mara 7 hivi, na zote hizo sikuweza kuchomoa...!

Ila nakumbuka vizuri siku moja nimetongozwa na Mke wa Mtu, sijawahi kuona Mwanamke kauzu kama yule, tulikua tunahughuria kikao flani hivi, sasa kwa jinsi nilivyo sio mtu wa kujichanganya sana, kiasi ambacho Kikao kikiisha tu, mimi huwa wa kwanza kuongoza njia na kuondoka kwenda zangu kwangu...!

Kumbe yule Manzi ananilia timing, tukimaliza kikao mpaka aanze kunitafuta anagundua nimeshafika mbali, kuasi hawezi kunifikia, kesho yake, siku iliyofata baada ya kikao kwisha, kama kawaida yangu naongoza njia kuondoka zangu Home, namwona kwa mbele kasimama, kufika alipo, ananiambia "Nilikua nakusubiri wewe, coz kila siku ni kama unanikimbia mimi" Mdada uso ni Mkavu, ananisemesha akinitizama usoni...

Nikamuuliza ulikua unasemaje!? Usihofu utajua, akaniuliza "Unapita njia ipi!?"
Nikamwambia "Nanyoosha straight" akasema "Basi twende"

Tukiwa njiani yule Dada akanambia "Sikiza, mimi nataka niende kwenye point moja kwa moja, mimi mambo ya kuzunguka huku naumia siwezi"

Nikamwambia "Karibu"
Akasema "mimi nakupenda, kupita kawaida, japo hatuna mazoea ila vikao hivi angalau vimefanya nikuone kwa ukaribu zaidi"

Kwa kweli nilishtuka, haikua mara ya kwanza kutiwa Sound na Binti, ila namna yule Binti alivyokua straight, serious, akinitazama Machoni, uso wake ni kama unasema (Ukikataa utanitesa) alinishangaza.

Nikamwambia "Naomba nipe muda ntakujibu"
Uso ukabadirika, nikauona U serious usoni mwake, (Yani kama ananidai hafu sitaki kumlipa pesa yake)

Akaniuliza "Muda unahitaji wa nini!?"
Nikamjibu "Inabidi nifikilie"
Akaniuliza "Ufikilie nini!?"
Nikamuuliza "Hivi ingekua mm ndo nimekutongoza sasa hivi ungenijibu nini!?"
Akanambia "Kama nimekuelewa nakubari hapa hapa, kama sijakuelewa nakuchana hapa hapa, hayo mambo ya nifikilie subiri, mambo ya kizamani, wewe fikilia hapa hapa nipe jibu langu"

Duh... Yule Dada alinipa wakati mgumu sana siku hiyo.
Ila ulimla au
 
Duh mi sikumbuki aisee. Inshort wapenzi asilimia kubwa nilowahi kuwa nao si kwamba walinitongoza but walionyesha kunipenda. Ioa nishatongozwa maroja tu ile kavukavu. Nakumbuka huyu dada nlimhurumia sana ila sikuwahi kumkubalia baadae ulibadilika ukawa kama ugomvi aliona naringa
 
Pumb--f dume zima unakuja hapa na habari za kutongozwa!! Na mwanamke asemeje??-- Mwanaume huwa hatongozwi bali anaashiriwa na mwanamke.
Nk
Imeshakuwa mzee sasa ofisini bado hizi za kuashiriwa ni kama sielewi, zipo Sana.

Mnakuta office mate anakuambia sweetie, baby dah sasa sisi wengine hatuambiwagi hivyo naona kama unaniita vile.
Bado nawasoma wake za waru hawa.

Mara anakusifu mbele za wenzake X mstaarabu Kweli basi mimi nacheka cheka tu nankuwaza huyu anatoa mjiko wa nini.

Wengine wanaomba mitiko nk hii miashirio ni kupendwa au ni nini Msaada tutani
 
,,,,,,,,,,,, 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😆😁😆😁😁
 
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?
Duuh
 
Haya mambo yalishanitimokea sana ila naona drama maana sielewi wanataka nn au utani.

Nikiwa chuo Kuna mmoja kutoka chuga alinipenda sana mpaka watu wanajua ila mi sijui na anipakazia ...

Wengine Tena ni wamarangu kama wawili mmoja anasema eti nimuoe sasa sielewi mamuoje hata dini tupo tofauti.

Mwingine nae anapakazia kwa watu ndo kwanza ana sababisha watu wengi wanifuate mpaka wakaniweka kikao wakati sijui kumbe akitongozwa ananitaja eti ananikubali Mimi ...Nimeingia kweny bifu na jamaa wa kwao huko kitu hata sijui mpaka nimekuja mweleza mbele yake mi sina habari nae na wala sina ukaribu nae.
Duuh
 
Back
Top Bottom