92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Mara ya kwanza nilikua shule kipindi hicho ukisikia joint mass basi unapagawa maana wanakuja wanafunzi wengiii toka shule tofaut tofaut.
kuna pisi ilinielewa na ikaja kufunguka bahati mbaya shule yao ipo mbali sana na wanabanwa sana basi alifunguka kwenye joint mass moja tukapanga muda tutakao kutana tena lazima tupeane mambo, nimekuja kuigusa nyama siku wanafunga shule alitoroka akaja shuleni kwetu akatafuta mpka kumipata tukatokomea kwenda water falls.
kimbembe kikawa atalala wapi usiku na shule yetu bweni la waschana wanakaguliwa kuingia ili wasiingize wanaume. Nilivuka ule msala ila nilienjoy asubuhi dem kasepa zake kwao tumekuja kukutana kila mtu ashakua na life lake anacheka tu.