Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Mara ya kwanza nilikua shule kipindi hicho ukisikia joint mass basi unapagawa maana wanakuja wanafunzi wengiii toka shule tofaut tofaut.
kuna pisi ilinielewa na ikaja kufunguka bahati mbaya shule yao ipo mbali sana na wanabanwa sana basi alifunguka kwenye joint mass moja tukapanga muda tutakao kutana tena lazima tupeane mambo, nimekuja kuigusa nyama siku wanafunga shule alitoroka akaja shuleni kwetu akatafuta mpka kumipata tukatokomea kwenda water falls.
kimbembe kikawa atalala wapi usiku na shule yetu bweni la waschana wanakaguliwa kuingia ili wasiingize wanaume. Nilivuka ule msala ila nilienjoy asubuhi dem kasepa zake kwao tumekuja kukutana kila mtu ashakua na life lake anacheka tu.
 
Nishawahi kutongozwa live live yani uso kwa uso kama mara 7 hivi, na zote hizo sikuweza kuchomoa...!

Ila nakumbuka vizuri siku moja nimetongozwa na Mke wa Mtu, sijawahi kuona Mwanamke kauzu kama yule, tulikua tunahughuria kikao flani hivi, sasa kwa jinsi nilivyo sio mtu wa kujichanganya sana, kiasi ambacho Kikao kikiisha tu, mimi huwa wa kwanza kuongoza njia na kuondoka kwenda zangu kwangu...!

Kumbe yule Manzi ananilia timing, tukimaliza kikao mpaka aanze kunitafuta anagundua nimeshafika mbali, kuasi hawezi kunifikia, kesho yake, siku iliyofata baada ya kikao kwisha, kama kawaida yangu naongoza njia kuondoka zangu Home, namwona kwa mbele kasimama, kufika alipo, ananiambia "Nilikua nakusubiri wewe, coz kila siku ni kama unanikimbia mimi" Mdada uso ni Mkavu, ananisemesha akinitizama usoni...

Nikamuuliza ulikua unasemaje!? Usihofu utajua, akaniuliza "Unapita njia ipi!?"
Nikamwambia "Nanyoosha straight" akasema "Basi twende"

Tukiwa njiani yule Dada akanambia "Sikiza, mimi nataka niende kwenye point moja kwa moja, mimi mambo ya kuzunguka huku naumia siwezi"

Nikamwambia "Karibu"
Akasema "mimi nakupenda, kupita kawaida, japo hatuna mazoea ila vikao hivi angalau vimefanya nikuone kwa ukaribu zaidi"

Kwa kweli nilishtuka, haikua mara ya kwanza kutiwa Sound na Binti, ila namna yule Binti alivyokua straight, serious, akinitazama Machoni, uso wake ni kama unasema (Ukikataa utanitesa) alinishangaza.

Nikamwambia "Naomba nipe muda ntakujibu"
Uso ukabadirika, nikauona U serious usoni mwake, (Yani kama ananidai hafu sitaki kumlipa pesa yake)

Akaniuliza "Muda unahitaji wa nini!?"
Nikamjibu "Inabidi nifikilie"
Akaniuliza "Ufikilie nini!?"
Nikamuuliza "Hivi ingekua mm ndo nimekutongoza sasa hivi ungenijibu nini!?"
Akanambia "Kama nimekuelewa nakubari hapa hapa, kama sijakuelewa nakuchana hapa hapa, hayo mambo ya nifikilie subiri, mambo ya kizamani, wewe fikilia hapa hapa nipe jibu langu"

Duh... Yule Dada alinipa wakati mgumu sana siku hiyo.
 
Ninewahi kutongozwa mara kadhaa lakini hawa wawili walikuwa serious mno.. lkn walikuwa marafiki tu, huyo mmjo nilinchana kiwa siko tayari kuwa kuingia kwenye mahusiano dah alilia sana na akakata mawasiliano kabisa, huyu wa pili alinianbia nikawa Sina muda nae akamfuata boss wangu akamchana kuwa ananipenda lkn akibiambia namzingua [emoji3][emoji3] ilabida boss aje nae kuniambia.. akawaambia washaji zangu kuwa akipajua ghetto tu anahamia mazima[emoji1787][emoji1787]
 
Mie sio muandikaji sana humu JF lakini hii acha niwachekeshe..
Nimemaliza tu chuo nikapata kazi mkoa A uko nikakutana na mkaka uuwwiii (anakidhi vigezo vyangu) ukizingatia nna upwiruu Boyfriend tulipomaliza chuo yy alipata kazi mkoa mwingine.

Basi bana muda ukapita km 6mnth kila mtu ananishobokea yeye hana habaree..tukikutana salamu imeisha..nikasema ya nini mie? Siku hyo tunatoka ofcn cjui ilikuaje hakuja na gari nikamuofa Lift akakubali.

Aahhh hhaaa kwny gari nikajimaliza we kaka mi nakupendaga ila ukogo mpole serious na mambo yako akacheka tu..nikasema mmhh nimejiaibishaaa nikaendelea najua sana kupika will you mind twende kwangu nikakupikie ndo uende kwako akakubali.

Nnyyyiieehhh kufika hom akala chakula na mpishi, sasa Kasheshe yy ndo akafall inlove balaa hadi ofcn wakajua tukaitwa tukakanywa mahusiano kazini..mi nikaachaga kazi (ilikua private) nikaenda kujiendeleza.

To cut the story short yule nliyemtongoza ndo akanioa banaa 10yrs and we still counting..tukizinguana ananiambia kwanza ulinitongozaga nyoko wewe.

Hhhaaa hhaa Hubby ukisoma hii ujue mshkaji wako Nakupendaga tyu.
 
Jamii forum kila mwanaume ni very very handsome boy....bila kusah au wote huwa wanatongozwa.....hakuna ambaye ana mda na she.

Vice versa iz tru.

thankyuuu
Nimechekaaaa sana, haki ya Mungu
 
Labda kutokana na kutokuwa handsome sijawah ila nikilenga hawachomoi
 
Mie sio muandikaji sana humu JF lakini hii acha niwachekeshe..
Nimemaliza tu chuo nikapata kazi mkoa A uko nikakutana na mkaka uuwwiii (anakidhi vigezo vyangu) ukizingatia nna upwiruu Boyfriend tulipomaliza chuo yy alipata kazi mkoa mwingine.

Basi bana muda ukapita km 6mnth kila mtu ananishobokea yeye hana habaree..tukikutana salamu imeisha..nikasema ya nini mie? Siku hyo tunatoka ofcn cjui ilikuaje hakuja na gari nikamuofa Lift akakubali.

Aahhh hhaaa kwny gari nikajimaliza we kaka mi nakupendaga ila ukogo mpole serious na mambo yako akacheka tu..nikasema mmhh nimejiaibishaaa nikaendelea najua sana kupika will you mind twende kwangu nikakupikie ndo uende kwako akakubali.

Nnyyyiieehhh kufika hom akala chakula na mpishi, sasa Kasheshe yy ndo akafall inlove balaa hadi ofcn wakajua tukaitwa tukakanywa mahusiano kazini..mi nikaachaga kazi (ilikua private) nikaenda kujiendeleza.

To cut the story short yule nliyemtongoza ndo akanioa banaa 10yrs and we still counting..tukizinguana ananiambia kwanza ulinitongozaga nyoko wewe.

Hhhaaa hhaa Hubby ukisoma hii ujue mshkaji wako Nakupendaga tyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wish you more happy life guys[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?
Si unajua sisi ma Ras tuna sura zilizopinda......sijui ni kutokana na ule moshi? Akaniambia hivi wewe Ras kila siku nakuja Ofisini kwako unadhani mi sina kazi?

Yaani mimi mwanamke mzuro hivi nakwambia nakupenda wewe bado unalinga?

Nikawa najichekeresha tu.

Siku iliyofata akaja na vipimo vya H.I.V kila kikaratasi cha njano, Hepatitis B na Hepatitis C.

Akasema sasa niambie kingine kilichobaki nilete.

😅😅😅😅.

Siku hiyo nilisikia anapigia simu mashoga zake.

Ester Ester leo ni leo hapa niko na Ras nakwambia amenichakata balaa. Nimefanikiwa kumpata.

Nilijiona mjinga mimi.
 
Mie sio muandikaji sana humu JF lakini hii acha niwachekeshe..
Nimemaliza tu chuo nikapata kazi mkoa A uko nikakutana na mkaka uuwwiii (anakidhi vigezo vyangu) ukizingatia nna upwiruu Boyfriend tulipomaliza chuo yy alipata kazi mkoa mwingine.

Basi bana muda ukapita km 6mnth kila mtu ananishobokea yeye hana habaree..tukikutana salamu imeisha..nikasema ya nini mie? Siku hyo tunatoka ofcn cjui ilikuaje hakuja na gari nikamuofa Lift akakubali.

Aahhh hhaaa kwny gari nikajimaliza we kaka mi nakupendaga ila ukogo mpole serious na mambo yako akacheka tu..nikasema mmhh nimejiaibishaaa nikaendelea najua sana kupika will you mind twende kwangu nikakupikie ndo uende kwako akakubali.

Nnyyyiieehhh kufika hom akala chakula na mpishi, sasa Kasheshe yy ndo akafall inlove balaa hadi ofcn wakajua tukaitwa tukakanywa mahusiano kazini..mi nikaachaga kazi (ilikua private) nikaenda kujiendeleza.

To cut the story short yule nliyemtongoza ndo akanioa banaa 10yrs and we still counting..tukizinguana ananiambia kwanza ulinitongozaga nyoko wewe.

Hhhaaa hhaa Hubby ukisoma hii ujue mshkaji wako Nakupendaga tyu.
Ulifanya unachopenda ukamlaghai unajua kupika😅😅
Hongera zako.

Wanawake tunawambia kuna extra profile lazima uwe nayo sio uzuri tu.
 
Nishawahi kutongozwa live live yani uso kwa uso kama mara 7 hivi, na zote hizo sikuweza kuchomoa...!

Ila nakumbuka vizuri siku moja nimetongozwa na Mke wa Mtu, sijawahi kuona Mwanamke kauzu kama yule, tulikua tunahughuria kikao flani hivi, sasa kwa jinsi nilivyo sio mtu wa kujichanganya sana, kiasi ambacho Kikao kikiisha tu, mimi huwa wa kwanza kuongoza njia na kuondoka kwenda zangu kwangu...!

Kumbe yule Manzi ananilia timing, tukimaliza kikao mpaka aanze kunitafuta anagundua nimeshafika mbali, kuasi hawezi kunifikia, kesho yake, siku iliyofata baada ya kikao kwisha, kama kawaida yangu naongoza njia kuondoka zangu Home, namwona kwa mbele kasimama, kufika alipo, ananiambia "Nilikua nakusubiri wewe, coz kila siku ni kama unanikimbia mimi" Mdada uso ni Mkavu, ananisemesha akinitizama usoni...

Nikamuuliza ulikua unasemaje!? Usihofu utajua, akaniuliza "Unapita njia ipi!?"
Nikamwambia "Nanyoosha straight" akasema "Basi twende"

Tukiwa njiani yule Dada akanambia "Sikiza, mimi nataka niende kwenye point moja kwa moja, mimi mambo ya kuzunguka huku naumia siwezi"

Nikamwambia "Karibu"
Akasema "mimi nakupenda, kupita kawaida, japo hatuna mazoea ila vikao hivi angalau vimefanya nikuone kwa ukaribu zaidi"

Kwa kweli nilishtuka, haikua mara ya kwanza kutiwa Sound na Binti, ila namna yule Binti alivyokua straight, serious, akinitazama Machoni, uso wake ni kama unasema (Ukikataa utanitesa) alinishangaza.

Nikamwambia "Naomba nipe muda ntakujibu"
Uso ukabadirika, nikauona U serious usoni mwake, (Yani kama ananidai hafu sitaki kumlipa pesa yake)

Akaniuliza "Muda unahitaji wa nini!?"
Nikamjibu "Inabidi nifikilie"
Akaniuliza "Ufikilie nini!?"
Nikamuuliza "Hivi ingekua mm ndo nimekutongoza sasa hivi ungenijibu nini!?"
Akanambia "Kama nimekuelewa nakubari hapa hapa, kama sijakuelewa nakuchana hapa hapa, hayo mambo ya nifikilie subiri, mambo ya kizamani, wewe fikilia hapa hapa nipe jibu langu"

Duh... Yule Dada alinipa wakati mgumu sana siku hiyo.
😅😅😅ni mjeda huyo
 
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?
Labda na mwanaume
 
Nishawahi kutongozwa live live yani uso kwa uso kama mara 7 hivi, na zote hizo sikuweza kuchomoa...!

Ila nakumbuka vizuri siku moja nimetongozwa na Mke wa Mtu, sijawahi kuona Mwanamke kauzu kama yule, tulikua tunahughuria kikao flani hivi, sasa kwa jinsi nilivyo sio mtu wa kujichanganya sana, kiasi ambacho Kikao kikiisha tu, mimi huwa wa kwanza kuongoza njia na kuondoka kwenda zangu kwangu...!

Kumbe yule Manzi ananilia timing, tukimaliza kikao mpaka aanze kunitafuta anagundua nimeshafika mbali, kuasi hawezi kunifikia, kesho yake, siku iliyofata baada ya kikao kwisha, kama kawaida yangu naongoza njia kuondoka zangu Home, namwona kwa mbele kasimama, kufika alipo, ananiambia "Nilikua nakusubiri wewe, coz kila siku ni kama unanikimbia mimi" Mdada uso ni Mkavu, ananisemesha akinitizama usoni...

Nikamuuliza ulikua unasemaje!? Usihofu utajua, akaniuliza "Unapita njia ipi!?"
Nikamwambia "Nanyoosha straight" akasema "Basi twende"

Tukiwa njiani yule Dada akanambia "Sikiza, mimi nataka niende kwenye point moja kwa moja, mimi mambo ya kuzunguka huku naumia siwezi"

Nikamwambia "Karibu"
Akasema "mimi nakupenda, kupita kawaida, japo hatuna mazoea ila vikao hivi angalau vimefanya nikuone kwa ukaribu zaidi"

Kwa kweli nilishtuka, haikua mara ya kwanza kutiwa Sound na Binti, ila namna yule Binti alivyokua straight, serious, akinitazama Machoni, uso wake ni kama unasema (Ukikataa utanitesa) alinishangaza.

Nikamwambia "Naomba nipe muda ntakujibu"
Uso ukabadirika, nikauona U serious usoni mwake, (Yani kama ananidai hafu sitaki kumlipa pesa yake)

Akaniuliza "Muda unahitaji wa nini!?"
Nikamjibu "Inabidi nifikilie"
Akaniuliza "Ufikilie nini!?"
Nikamuuliza "Hivi ingekua mm ndo nimekutongoza sasa hivi ungenijibu nini!?"
Akanambia "Kama nimekuelewa nakubari hapa hapa, kama sijakuelewa nakuchana hapa hapa, hayo mambo ya nifikilie subiri, mambo ya kizamani, wewe fikilia hapa hapa nipe jibu langu"

Duh... Yule Dada alinipa wakati mgumu sana siku hiyo.
Ulimla mkuuu
 
Ndugu yangu, tupo chini ya miguu yako, malizia hii story mpaka mlikoishia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie sio muandikaji sana humu JF lakini hii acha niwachekeshe..
Nimemaliza tu chuo nikapata kazi mkoa A uko nikakutana na mkaka uuwwiii (anakidhi vigezo vyangu) ukizingatia nna upwiruu Boyfriend tulipomaliza chuo yy alipata kazi mkoa mwingine.

Basi bana muda ukapita km 6mnth kila mtu ananishobokea yeye hana habaree..tukikutana salamu imeisha..nikasema ya nini mie? Siku hyo tunatoka ofcn cjui ilikuaje hakuja na gari nikamuofa Lift akakubali.

Aahhh hhaaa kwny gari nikajimaliza we kaka mi nakupendaga ila ukogo mpole serious na mambo yako akacheka tu..nikasema mmhh nimejiaibishaaa nikaendelea najua sana kupika will you mind twende kwangu nikakupikie ndo uende kwako akakubali.

Nnyyyiieehhh kufika hom akala chakula na mpishi, sasa Kasheshe yy ndo akafall inlove balaa hadi ofcn wakajua tukaitwa tukakanywa mahusiano kazini..mi nikaachaga kazi (ilikua private) nikaenda kujiendeleza.

To cut the story short yule nliyemtongoza ndo akanioa banaa 10yrs and we still counting..tukizinguana ananiambia kwanza ulinitongozaga nyoko wewe.

Hhhaaa hhaa Hubby ukisoma hii ujue mshkaji wako Nakupendaga tyu.
Hongereni sana, enjoy your love guys!
 
Back
Top Bottom