KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Hivi we jamaa una miaka mingapi maana mambo yako si haba 🤔🤔🤔Hahah Mkuu Huwa Niko na kiwango kikubwa Cha Uwazi na ukweli !!
Yaan hapa Dunian ,mambo ambayo yanaonekana ni magumu kwamtu, Kwa mwingine ni mepesi sana.
Kwa ufupi, Nimeshanusurika kufumaniwa Mara 4 , na katika hizo 4, Moja ilibidi mpaka nikafungue Jalada Polisi na Yule Mume wa Mwanamke akajaga kuniomba Msamaha mwenyewe, maana nilihakikisha Jalada nimelisuka kwelikweli .