Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

1. Yes nimetongozwa mara nyingi
2. Niliona kawaida sio ajabu kutongozwa
3. Kila aliyenitongoza kwa dhati kwangu huwa namheshimu...ikiwa sitamkubalia nitampa heshima ya pekee, nitamheshimu kama alivyoziheshimu hisia zake akanitokea. ...nampa heshima kubwa na nitampa majibu yasiyovunja moyo.

Usimvunje moyo aliyekupenda...mpe sababu...mfano.

Dada ninashukuru mno kwa ujasiri wa kipekee.
Nimejisikia vizuri kusikia unanipenda...bahati mbaya nina mtu ambaye tuna uhusiano siriaz.....sipendi nikukubalie then nije kukuvunja moyo.
Nisamehe kama nitakuudhi kwa majibu haya plz.

Hiyo kauli nimeweka tu kama kauli ambayo unaweza kuitumia usimvunje moyo aliyeonyesha hisia za kweli kwako.
Huu Ni ukomavu wa akili.
 
Mimi na nyota yangu ya punda ni kama mbingu na ardhi,ila yatapita tu!
 
many times nakumbuka mara ya mwisho, nilikuwa nipo na rafiki yangu tulikuwa tunafanya kazi na huyu demu, basi huyu rafiki yangu akawa anamuelewa huyo demu akaamua kumtokea wakati anamtongoza mimi nilikuwa nimekaa pembeni nasubiri wamalize niondoke na huyo rafiki yangu....asee huwezi amini huyo demu akamkataa mshikaji afu akanifata pale pale akasema mimi nakupenda wewe... nilikosa confidence nilikaa kama sekunde kadhaa hivi nikamuuliza unamaanisha..akasema " ndio mara kwanza nakuona,nikatokea tu kukupenda..daaah muda huo mshikaji wangu kanywea vibaya.. nikaona jau hata kuendelea kuongea nae huyu demu nikamkataa kimtind; ila ilikuwa pisi kinyama yaan[emoji119][emoji119] the rest is history.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom