Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Mara nyingi hadi unamwambia una mke lakini anakukomalia
 
Ilinitokea sana kipindi nina umri kati ya miaka 16-20.
Hapa katikati sijui nini kilinitokea[emoji28]
Ulikuwa mtoto wa kishua unavimbia hela za mshua sasa umekuwa maskini[emoji28][emoji38]
 
Miye sura ya Babu mfukoni patupu unafikiri atanitongoza nani
Daaah mbona hii kali asee mi kuna uncle wangu ni tax driver sio tajiri sio masikini ila anavyotongozwa na wanawake mmmmh assee

Sijui ni nguvu za Mungu au nn maana jamaa kaokoka kweli

Na sio handsome wala nn ana 47 hapo najiulizaga sana ila wote anawakataliaga tu 🤔🤔😒
 
Uncle yako inaonekana Ana nyota ya kupendwq na wanawake.
 
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?

Nilikubali kabla hata hajafungua mdogo, tukajikuta tunaZagamuana tu.....ila nilikuja mpiga chini baada yakuona ananibana na ratiba zangu
 
Daaah mbona hii kali asee mi kuna uncle wangu ni tax driver sio tajiri sio masikini ila anavyotongozwa na wanawake mmmmh assee

Sijui ni nguvu za Mungu au nn maana jamaa kaokoka kweli

Na sio handsome wala nn ana 47 hapo najiulizaga sana ila wote anawakataliaga tu [emoji848][emoji848][emoji19]
Ana nyota ya ukimwi
 
1. Yes nimetongozwa mara nyingi
2. Niliona kawaida sio ajabu kutongozwa
3. Kila aliyenitongoza kwa dhati kwangu huwa namheshimu...ikiwa sitamkubalia nitampa heshima ya pekee, nitamheshimu kama alivyoziheshimu hisia zake akanitokea. ...nampa heshima kubwa na nitampa majibu yasiyovunja moyo.

Usimvunje moyo aliyekupenda...mpe sababu...mfano.

Dada ninashukuru mno kwa ujasiri wa kipekee.
Nimejisikia vizuri kusikia unanipenda...bahati mbaya nina mtu ambaye tuna uhusiano siriaz.....sipendi nikukubalie then nije kukuvunja moyo.
Nisamehe kama nitakuudhi kwa majibu haya plz.

Hiyo kauli nimeweka tu kama kauli ambayo unaweza kuitumia usimvunje moyo aliyeonyesha hisia za kweli kwako.
Hiyo kauli Ni nzuri Sana,wadada wangekuwa wanatumia hiyo kauli kuwakatalia wanaume ingekuwa poa Sana afu ungekuwa ustaarab mzuri Sana.
 
Oy lete visa mkuuu 💩 vipi
Visa no vingiii sana siunaona kama huyu natakiwa nimle JPL.

PhotoGrid_Site_1678462614243.jpg

Ana Mshapeee balaa, mtako Si mtakooo, sura Si suraaaa .

Sasa unajua nilimpataje?.

Hahaha kimasihara sanaaaa , alimleta Mama yake Hosp kapigwa na DKA ameshapoteza Faham ( nilikua EMD ) , baada ya juhudi mama kutoa tumaini, na kuhamishiwa Wodini , yule Demu akawa ananiuliza... vipi Mama atakua sawa ? Mama vile?.

Si ndo nikamtania ' atakua sawa tu na akishakua sawa itabidi nawee unipee hiyo nyama maana looooh Kwa jinsi ulivyojaaa 🤣)

Likachela chekaaaa tuu hapoooo.

Ndo Sasa JPL nakula ,usiku kucha🤣🤣
 
Visa no vingiii sana siunaona kama huyu natakiwa nimle JPL.

View attachment 2544691

Ana Mshapeee balaa, mtako Si mtakooo, sura Si suraaaa .

Sasa unajua nilimpataje?.

Hahaha kimasihara sanaaaa , alimleta Mama yake Hosp kapigwa na DKA ameshapoteza Faham ( nilikua EMD ) , baada ya juhudi mama kutoa tumaini, na kuhamishiwa Wodini , yule Demu akawa ananiuliza... vipi Mama atakua sawa ? Mama vile?.

Si ndo nikamtania ' atakua sawa tu na akishakua sawa itabidi nawee unipee hiyo nyama maana looooh Kwa jinsi ulivyojaaa 🤣)

Likachela chekaaaa tuu hapoooo.

Ndo Sasa JPL nakula ,usiku kucha🤣🤣
Igwe. Mr 🍑 daaah asee
 
Back
Top Bottom