Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

She came into my life by this method
She clearly stated that she loves me, I asked her thrice do you real love me?
She replied yes
I went to her friend asking, does she love me real?
Her friend replied Yes she does and she loves you so much
I trusted her and entered the love game again, did my best as a man
But what happened ?

She nearly destroyed my life !
 
Mimi imenitokea Sana sema Mimi nawakataaga maana Mimi naogopa mikosi hasa hawa wanawake ke wa watz ambao hawana bikra ukimgonga unarudi nyuma kimaisha . Pia ukiwakataa wanakuchukia na Mimi ndo napenda Sitaki uchafu
 
😀😀 nimeona huu ujumbe nikakumbuka matukio ya ujanani.

Ni hivi, sidhani kama kuna mwanaume aliyewahitongozwa na Mwanamke akachomoa! hii kitu ina force ya ajabu.
Inakuwa hivi, mdada anaweza kuingia kingi akakufungukia ya moyoni na wanaweza kufunguka kweli kweli.

Anapoanza lazima uchomoe tena unamuona wa ajabu kweli kweli atapiga timing nyingi, utachomoa. Ila haitachukua miaka mingi lazima utarudi tu unabutua then unasonga. hii ni maajabu! Sisi wanaume tutakataa tu at the beginning, tena ukute huyo mtu ni rafiki.

Kinachoturudisha sijui ni nini.
Aje mtu hapa aseme yeye alichomoa mazima mazima.

Na unaweza kurudi kwa Aliyekutongoza after sometimes na yeye akachomoa vile vile, anakuambia nisha move on.
 
Nlitongozwa sana na wadada katika age ya 15 - 20 hivii haswa nikiwa Shule, kiasi kwamba kuna wengine walikuwa wanaumia na kulia kabisa pale nnapowazinguaa. ila nlipofikia age ya 24 haikuwahi tokea tena mwanamke anitafute na kunieleza ananipenda., imebaki Story
 
We phalla hunaga hiyana🤣🤣
Ahhahaha akhaaaa niwe na hiyanaa kisa nn Mkuu...mtoto unakuta Mara Doctor G unanukiaaa ( huku ananigusa gusa began)...Mara G tukanywee chai Baba


G mwenyeweee Sasa kitombiiiii
 
Yaani hamna sehemu ngona inazungumzwa huyu jamaa asichangie kwa furaha yaani🤣🤣🤣🤣🤣kwenye kimasihara Hadi kaanzisha Uzi ndani ya uzi, Carlos hapana jamani
Mkuuu wangu, Huwa sipendi nikae na shahawa za siku zaidi ya 3 , labda itokee emergency tu !!.

Baadae tukutane masihara niwaeleze tukuo la kumla huyu BOSS !!.
 
Mkuuu wangu, Huwa sipendi nikae na shahawa za siku zaidi ya 3 , labda itokee emergency tu !!.

Baadae tukutane masihara niwaeleze tukuo la kumla huyu BOSS !!.
🤣🤣🤣🤣Kama kawaida uwe na meseji na kapicha kidogo
 
Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo nilitongozwa na mwanamke mmoja mke wa mtu halafu alikua na pesa na Hadi Sasa anazo. Tatizo mwanamke mwenyewe Hana shape Wala sura. Mbele na nyuma Ni sawa kabisa, flat screen OG. Nikawa najiuliza kwa huyu hata Kama abdala Ni kichwa wazi lkn kwa huyu hatoweza kuinuka. Alinipa mpaka offer ya kwenda Zanzibar Kama Dar ninaogopa. Nashukuru Sana sikumkula.
🤮🤮🤮🤮🤮🤮 Hata mimi ningempiga cha mbavu
 
Back
Top Bottom