Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Walahi nimekuchokaBaby hata nikiwapelekea moto ,wee utabaki namba Moja tuuu kwako ni "Mtakuja"[emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi nimekuchokaBaby hata nikiwapelekea moto ,wee utabaki namba Moja tuuu kwako ni "Mtakuja"[emoji8]
Huu Ni ukomavu wa akili.1. Yes nimetongozwa mara nyingi
2. Niliona kawaida sio ajabu kutongozwa
3. Kila aliyenitongoza kwa dhati kwangu huwa namheshimu...ikiwa sitamkubalia nitampa heshima ya pekee, nitamheshimu kama alivyoziheshimu hisia zake akanitokea. ...nampa heshima kubwa na nitampa majibu yasiyovunja moyo.
Usimvunje moyo aliyekupenda...mpe sababu...mfano.
Dada ninashukuru mno kwa ujasiri wa kipekee.
Nimejisikia vizuri kusikia unanipenda...bahati mbaya nina mtu ambaye tuna uhusiano siriaz.....sipendi nikukubalie then nije kukuvunja moyo.
Nisamehe kama nitakuudhi kwa majibu haya plz.
Hiyo kauli nimeweka tu kama kauli ambayo unaweza kuitumia usimvunje moyo aliyeonyesha hisia za kweli kwako.
Mbona unanionea🤣🤣🤣,yaani sifa alizoweka hapo simuwezi mmi
Mwone huruma mwenzio 😒😒😒🤔😳Mbona unanionea🤣🤣🤣,yaani sifa alizoweka hapo simuwezi mmi
Kuna Nini Tena?
😆😆😆🙌Mwone huruma mwenzio 😒😒😒🤔😳
Sasa mpe muda, uone nguvu ya asili.We mbona mwamposa ana resist since 2016 sio wanaume wote ni simps mkuuu utashangaa watu wana misimamo yao 😳
HIzo id zinanivutia kusema😅Kuna Nini Tena?
Watu wa Mungu wana upako wao mzee si kila mtu ana angukia humo 😂 😶Sasa mpe muda, uone nguvu ya asili.
labda ukute jogoo hapandi mtungi.
🤣🤣🤣Ila hizi username kiboko
Haswaa🤣🤣🤣Ila hizi username kiboko
🤣🤣🤣🤣 Ndio nimezitafakari ikabidi nichekeHIzo id zinanivutia kusema😅
Shepu Kam pinsa ya kukatia kench waya.
Mbona mnashambulia kwa jambo lililo nje ya uwezo wake?Shepu Kam pinsa ya kukatia kench waya.
Nishakuambia huwezi shindana na nguvu ya asili.Watu wa Mungu wana upako wao mzee si kila mtu ana angukia humo 😂 😶
Kaa chonjo
Njooo kwenye Uzi wa masihara.Joan S hujawahi kutongoza mtu kweli