Je, ulishawahi kuwa katika mahusiaano na mdosi, mzungu au mtu wa Taifa jingine?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi tofauti na lako yaani uwe na mdosi, dodo, au taifa tofauti.

Leta experience yako
 
Nilikuwaga namfyatua shombeshombe wa kiarabu lakini tulishindwa kuendelea na mapenzi kwa sababu yeye alikuwa anataka nimtafune kiboga
 
Kwani ukilisema lile li zee lako lakizungu lenye mapengo Nani atakupiga dada.. si useme tu chukulia ni kama sehemu ya kutubu tu..πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Kuwa na zee zungu lenye mapengo si Bora niwe na mweusii tiii mwenzangu kijana masikini .
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Kuwa na zee zungu lenye mapengo si Bora niwe na mweusii tiii mwenzangu kijana masikini .
Endelea kubisha Sasa ntaweka na picha yake ili nikuumbue Mrs mapengo wa watu..πŸ˜…
 
Endelea kubisha Sasa ntaweka na picha yake ili nikuumbue Mrs mapengo wa watu..πŸ˜…
🀣🀣🀣🀣🀣 Brazaaa...weeka nimekupa ruhusa
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Brazaaa...weeka nimekupa ruhusa
Sitaki kumuaibisha dada maana ukiaibika wewe nimesibika nami ila msalimu shemeji yangu huyo ila dah! Nawe kiboko..πŸ˜…
 
Sitaki kumuaibisha dada maana ukiaibika wewe nimesibika nami ila msalimu shemeji yangu huyo ila dah! Nawe kiboko..πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaka πŸ™Œ
 
Tuliopata wamakonde na wakunduchi tunacoment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…