mkuu nimesoma na watu walikua wanapata hadi wastani wa 95-98, tz kuna vijana wana akili sana sijui hua tunakwama wapi tu huko mbele ya safariWastani = Jumla /Idadi. Sasa huo wastani wa 80, 90 kwamba hiyo mitihani ulikua unatunga na walimu ama? ulikua vizuri sana
For sure mimi form 2 hata nilikua siwazi mapenzi kabisaa.
mkuu we hukuwahi date ulipokua shule??Mapenzi na shule , mlenda na chai....
sawa kamandaKuna ***** m'moja nilikuwa nampa attention, akawa analeta usenge, mimi nipo kwenye maandalizi ya mitihani, ananitumia sms usiku ananiambia ana mimba yangu, ***** yule, mimi nimekaa siku tatu nawaza namna imekuwaje nimekuwa baba na wakati plan yangu ni kuwa baba baada ya shule, baadae nimeshakubaliana na hali, na hapo nimeshampigia simu mara kadhaa nikimpa comfort na kumwambia asijali nimefurahi sana kuwa baba mtoto na ninahamu sana ya kuja kumuona mtoto wangu, ila ndani ya nafsi nina kila aina ya wasi wasi jinsi ya kuanza kuyaishi maisha mapya ya uzazi.
Baada ya siku kadhaa anakuja nambia kuwa alikuwa ananipima kuniona kama nina upendo wa kweli kwake na nina malengo nae sababu kama ningekataa huo ujauzito ina maana sina malengo nae....
So ikaishia hivyo nikaamua kukaa kimya sikuongea chochote, alipiga simu sikupokea, nikamtext tu kuwa kwasasa nina mambo mengi kichwani sihitaji mambo ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ***** m'moja nilikuwa nampa attention, akawa analeta usenge, mimi nipo kwenye maandalizi ya mitihani, ananitumia sms usiku ananiambia ana mimba yangu, ***** yule, mimi nimekaa siku tatu nawaza namna imekuwaje nimekuwa baba na wakati plan yangu ni kuwa baba baada ya shule, baadae nimeshakubaliana na hali, na hapo nimeshampigia simu mara kadhaa nikimpa comfort na kumwambia asijali nimefurahi sana kuwa baba mtoto na ninahamu sana ya kuja kumuona mtoto wangu, ila ndani ya nafsi nina kila aina ya wasi wasi jinsi ya kuanza kuyaishi maisha mapya ya uzazi.
Baada ya siku kadhaa anakuja nambia kuwa alikuwa ananipima kuniona kama nina upendo wa kweli kwake na nina malengo nae sababu kama ningekataa huo ujauzito ina maana sina malengo nae....
So ikaishia hivyo nikaamua kukaa kimya sikuongea chochote, alipiga simu sikupokea, nikamtext tu kuwa kwasasa nina mambo mengi kichwani sihitaji mambo ya kitoto.
HUU UJINGA WADADA WENGI SANA HUTUMIA KUPIMA WENZI WAO
mkuu ukiwa unayaanza mapenzi ile raha yakunyanduana huchanganya sana, hiki ndo kilinifelisha bt after kuyazoea kila kitu kilienda sawaKuwa na mpenzi hakuwezi kukusababisha ufeli, hasa pale unapokua na mpenzi ambae malengo yenu kimasomo na kimaadili yanafanana. Wapo waliopendana shuleni mpaka vyuoni na baadae wakaishi maisha ya mume na mke.
Ukiona umefeli basi ulitaka kulazimisha mambo nje ya muda wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, mlikua vipanga sana 🤛mkuu nimesoma na watu walikua wanapata hadi wastani wa 95-98, tz kuna vijana wana akili sana sijui hua tunakwama wapi tu huko mbele ya safari
kawaida mkuuAisee, mlikua vipanga sana
pole mkuu bt share nasi kidogoIt was very bad to me siwezi sahau na sitokaa nirudiane na yule mbwa mwitu