Lugumgya
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 629
- 2,053
Mapenzi ya Mpira wa Miguu, kidogo yanipe SUPP! Ilikuwa ni mechi Kati ya South Africa vs Mexico, nilijibu maswali mawili, nikaona nitachelewa mechi, nikakusanya nikakimbia bandani kuangalia mechi. Ufunguzi Kombe la Dunia-South.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app