then ikawaje mkuuWakati nikiwa Form 3 nilifanya mbaaya kwenye mtihani hadi watu wakaulizana kilichonisibu bila wao kujua! Nilipata alama za chini mno ukilinganisha na uwezo niliokuwa nao kabla.
Nilikuwa muhuni sana! Sasa wakati huo wa kukaribia mitihani Mademu 2 nikawagonganisha, ikawa shida. Wakatishiana hadi kufanyiana mbaya!Ugomvi wao haukuishia mtaani, ukafika hadi shuleni! Na wakati huo kuna mmoja ni mdogo wa madame hapo school!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera mkuu, itakua ulianza ukiwa mkubwaWrite your reply...HAYAJAWAHI KUNIYUMBISHA
Sikuwahimkuu we hukuwahi date ulipokua shule??
Bahati yako tulikuwa hatujuani bebi, ungekuwa mikononi mwangu ingependeza zaidi.Wastani = Jumla /Idadi. Sasa huo wastani wa 80, 90 kwamba hiyo mitihani ulikua unatunga na walimu ama? ulikua vizuri sana
For sure mimi form 2 hata nilikua siwazi mapenzi kabisaa.
nikikumbuka pumbavu Mimi
nilimtishia demu kufeli endapo akinikataa na kwel nilipata matokeo mabaya ambayo sikutarajia kipindi niko shule, necta form two niliambulia 2 ya point 19 iliniuma sanaa
hongera mkuuKwa kweli hahijawahi tokeo
Afu kweli tungeanza safari yetu mapema babeBahati yako tulikuwa hatujuani bebi, ungekuwa mikononi mwangu ingependeza zaidi.
mfumo ulianza wa division umeanza toka 90's mkuuForm two siku hizi wanatoa kwa division??[emoji848]
Afu wale waliokuwa wanapata wastani wa 30-50 sasa hivi ndio mameneja, wakurugenzi, wahandisi, mawaziri n.k! Daah maisha bhana......mkuu nimesoma na watu walikua wanapata hadi wastani wa 95-98, tz kuna vijana wana akili sana sijui hua tunakwama wapi tu huko mbele ya safari
hujakosea mkuu umepita mule muleAfu wale waliokuwa wanapata wastani wa 30-50 sasa hivi ndio mameneja, wakurugenzi, wahandisi, mawaziri n.k! Daah maisha bhana......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ***** m'moja nilikuwa nampa attention, akawa analeta usenge, mimi nipo kwenye maandalizi ya mitihani, ananitumia sms usiku ananiambia ana mimba yangu, ***** yule, mimi nimekaa siku tatu nawaza namna imekuwaje nimekuwa baba na wakati plan yangu ni kuwa baba baada ya shule, baadae nimeshakubaliana na hali, na hapo nimeshampigia simu mara kadhaa nikimpa comfort na kumwambia asijali nimefurahi sana kuwa baba mtoto na ninahamu sana ya kuja kumuona mtoto wangu, ila ndani ya nafsi nina kila aina ya wasi wasi jinsi ya kuanza kuyaishi maisha mapya ya uzazi.
Baada ya siku kadhaa anakuja nambia kuwa alikuwa ananipima kuniona kama nina upendo wa kweli kwake na nina malengo nae sababu kama ningekataa huo ujauzito ina maana sina malengo nae....
So ikaishia hivyo nikaamua kukaa kimya sikuongea chochote, alipiga simu sikupokea, nikamtext tu kuwa kwasasa nina mambo mengi kichwani sihitaji mambo ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]Kuna ***** m'moja nilikuwa nampa attention, akawa analeta usenge, mimi nipo kwenye maandalizi ya mitihani, ananitumia sms usiku ananiambia ana mimba yangu, ***** yule, mimi nimekaa siku tatu nawaza namna imekuwaje nimekuwa baba na wakati plan yangu ni kuwa baba baada ya shule, baadae nimeshakubaliana na hali, na hapo nimeshampigia simu mara kadhaa nikimpa comfort na kumwambia asijali nimefurahi sana kuwa baba mtoto na ninahamu sana ya kuja kumuona mtoto wangu, ila ndani ya nafsi nina kila aina ya wasi wasi jinsi ya kuanza kuyaishi maisha mapya ya uzazi.
Baada ya siku kadhaa anakuja nambia kuwa alikuwa ananipima kuniona kama nina upendo wa kweli kwake na nina malengo nae sababu kama ningekataa huo ujauzito ina maana sina malengo nae....
So ikaishia hivyo nikaamua kukaa kimya sikuongea chochote, alipiga simu sikupokea, nikamtext tu kuwa kwasasa nina mambo mengi kichwani sihitaji mambo ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app