Lugumgya JF-Expert Member Joined Dec 10, 2019 Posts 629 Reaction score 2,053 May 29, 2020 #41 Mapenzi ya Mpira wa Miguu, kidogo yanipe SUPP! Ilikuwa ni mechi Kati ya South Africa vs Mexico, nilijibu maswali mawili, nikaona nitachelewa mechi, nikakusanya nikakimbia bandani kuangalia mechi. Ufunguzi Kombe la Dunia-South. Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya Mpira wa Miguu, kidogo yanipe SUPP! Ilikuwa ni mechi Kati ya South Africa vs Mexico, nilijibu maswali mawili, nikaona nitachelewa mechi, nikakusanya nikakimbia bandani kuangalia mechi. Ufunguzi Kombe la Dunia-South. Sent using Jamii Forums mobile app