USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili.
Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu (wanaitwa vunja) wenyeji wa hawapo wanadai kero kubwa ni kuokota used condoms nyingi inapokuchwa ni uuzaji wa miili na pombe kali
Kuna nyumba inaitwa (whitehouse) hii haina mwenyewe inamauzauza kila aliyejaribu kuishi alipata cha mtema kuni so hapo nipa kila mtu humo ndani ni madawa ya kulevya, ngono, bangi na mara nyingi unaambiwa ugomvi hutokea na huwa hakuna kuamualiwa.
Kwa taarifa za kiintelijensia wateja wengi ni raia waliojichokea, wafasiri wanaokwenda mikoani au waliofika Dar maana mbezi Louis ndio kitovu cha safari, polisi, wanajeshi na walinzi wa biashara ni vijana wa ulinzi shirikishi, mabaunsa,
Wanawake wanaojiuza ni mix piss kali, wala bangi na madawa, ukiwaona huwezi kuamini kuwa wanajiuza hasa mitaa ya bar ya sun Sirro, bar ya Gods pub, Lubumbashi, B bar na maduka yanayouza bombe eneo hilo kama unatoka sun Sirro kupandish sokoni wamefunga barabara kwa magogo hawataki usumbufu.
Waathirika wakuu ni watoto wa shule maana eneo hilo linashule mbili kubwa ile mbezi na upendo, wapangaji wa eneo hilo na wananchi wa kawaida.
Inadaiwa polisi wa kituo cha Gogoni, Temboni, mazulu hupokea pesa kila siku ili wasiwasimbue, wengi wamepanga pia mitaa hiyo na kutoa huduma kwa bei ya 2000-3000, wapo watoto waliochini ya miaka 18 inadaiwa wametolewa mikoani hasa singida, kagera, Arusha, Kilimanjaro na nyanda za juu kusini.
Kwenye bar ya Gods kila jumapili usiku kuna wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa ya bia ukeni huku watu wakishangilia, uchi live.
Eneo hilo lina harufu kali ya shahawa, kinyesi, na kutapakaa condom zilizotumika, sigara, bangi.
Kelele za muziki hadi asubuhi ni kawaida, wanaume kuomba omba bia ni kawaida sana.
CC . Dorothy GWAJIMA