DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili .
Yaani ulivyoelezea mm ni mwenyeji maeneo ya mbezi Louis ni km eneo kubwa hivi ila hivyo vibaa ni vidogogidogo..

Na vinaweza kudhibitiwa hata na mtendaji
Kuna vitu ni sisi wenyewe tunaamua tusisubir kiongozi mkubwa aje aamue.
 
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili .

Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu (wanaitwa vunja) wenyeji wa hawapo wanadai kero kubwa ni kuokota used condoms nyingi inapokuchwa ni uuzaji wa miili na pombe kali

Kuna nyumba inaitwa (whitehouse) hii haina mwenyewe inamauzauza kila aliyejaribu kuishi alipata cha mtema kuni so hapo nipa kila mtu humo ndani ni madawa ya kulevya,ngono,bangi na mara nyingi unaambiwa ugomvi hutokea na huwa hakuna kuamualiwa.

Kwa taarifa za kiintelijensia wateja wengi ni raia waliojichokea ,wafasiri wanaokwenda mikoani au waliofika Dar maana mbezi Louis ndio kitovu cha safari, polisi, wanajeshi na walinzi wa biashara ni vijana wa ulinzi shirikishi, mabaunsa,

Wanawake wanaojiuza ni mix piss kali,wala bangi na madawa,ukiwaona huwezi kuamini kuwa wanajiuza hasa mitaa ya bar ya sun Sirro,bar ya Gods pub, Lubumbashi,B bar na maduka yanayouza bombe eneo hilo kama unatoka sun Sirro kupandish sokoni wamefunga barabara kwa magogo hawataki usumbufu.

Waathirika wakuu ni watoto wa shule maana eneo hilo linashule mbili kubwa ile mbezi na upendo, wapangaji wa eneo hilo na wananchi wa kawaida.

Inadaiwa polisi wa kituo cha Gogoni, Temboni,mazulu hupokea pesa kila siku ili wasiwasimbue,wengi wamepanga pia mitaa hiyo na kutoa huduma kwa bei ya 2000-3000 ,wapo watoto waliochini ya miaka 18 inadaiwa wametolewa mikoani hasa singida, kagera, Arusha, Kilimanjaro na nyanda za juu kusini.

Kwenye bar ya Gods kila jumapili usiku kuna wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa ya bia ukeni huku watu wakishangilia, uchi live

Eneo hilo lina harufu kali ya shahawa,kinyesi,na kutapakaa condom zilizotumika , sigara, bangi,

Kelele za muziki hadi asubuhi ni kawaida wanaume kuomba omba bia ni kawaida sana

CC . Dorothy GWAJIMA

USSR
Pamoja na yoote hayo...si ulifanikiwa kupata Huduma iliyokupeleka hapo lakini!?....

Kama Huduma ulipatiwa...basi ya ngoswe...mwachie ngoswe!...

Ina maana wakazi wa hapo jirani hawamiliki smartphones!? Ama hawayaoni hayo!?
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
What did you do then?[emoji23][emoji23][emoji23] serious temptetations
 
Pamoja na yoote hayo...si ulifanikiwa kupata Huduma iliyokupeleka hapo lakini!?....

Kama Huduma ulipatiwa...basi ya ngoswe...mwachie ngoswe!...

Ina maana wakazi wa hapo jirani hawamiliki smartphones!? Ama hawayaoni hayo!?
Nimefanya utafiti wa kina kwa siku kadhaa tangu muungano day

USSR
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji174]
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
[emoji47][emoji47][emoji47] balaaa Hilo. Sasa ukijinasua vipi hapo?
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana

Huu mji hauna laana hata mara moja[emoji3062]
Kama wenye laana ni huko huko kwenu na familia yako!
Koma ku generalize maneno [emoji2959]
 
Back
Top Bottom