DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Maeneo ya mabar sijui maguest mengi ni machafu hata watu wanaoenda hapo ni wachafu kuna harufu hata uuzaji wa vyakula vyake sijui wanakulaje baadhi ya nyama zile chafu huuzwa hapo.


Yaani kama uzinifu ni uchafu ukienda vyooni ni kuchafu kabisa ...walevi wastaarabu ni wale wanaoenda kweny Groceries zina mazingira mazuri kwanza zinapambwa ila sehemu za vurugu ni kwa washamba na wachafu kama mabars.
 
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili .

Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu (wanaitwa vunja) wenyeji wa hawapo wanadai kero kubwa ni kuokota used condoms nyingi inapokuchwa ni uuzaji wa miili na pombe kali

Kuna nyumba inaitwa (whitehouse) hii haina mwenyewe inamauzauza kila aliyejaribu kuishi alipata cha mtema kuni so hapo nipa kila mtu humo ndani ni madawa ya kulevya,ngono,bangi na mara nyingi unaambiwa ugomvi hutokea na huwa hakuna kuamualiwa.

Kwa taarifa za kiintelijensia wateja wengi ni raia waliojichokea ,wafasiri wanaokwenda mikoani au waliofika Dar maana mbezi Louis ndio kitovu cha safari, polisi, wanajeshi na walinzi wa biashara ni vijana wa ulinzi shirikishi, mabaunsa,

Wanawake wanaojiuza ni mix piss kali,wala bangi na madawa,ukiwaona huwezi kuamini kuwa wanajiuza hasa mitaa ya bar ya sun Sirro,bar ya Gods pub, Lubumbashi,B bar na maduka yanayouza bombe eneo hilo kama unatoka sun Sirro kupandish sokoni wamefunga barabara kwa magogo hawataki usumbufu.

Waathirika wakuu ni watoto wa shule maana eneo hilo linashule mbili kubwa ile mbezi na upendo, wapangaji wa eneo hilo na wananchi wa kawaida.

Inadaiwa polisi wa kituo cha Gogoni, Temboni,mazulu hupokea pesa kila siku ili wasiwasimbue,wengi wamepanga pia mitaa hiyo na kutoa huduma kwa bei ya 2000-3000 ,wapo watoto waliochini ya miaka 18 inadaiwa wametolewa mikoani hasa singida, kagera, Arusha, Kilimanjaro na nyanda za juu kusini.

Kwenye bar ya Gods kila jumapili usiku kuna wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa ya bia ukeni huku watu wakishangilia, uchi live

Eneo hilo lina harufu kali ya shahawa,kinyesi,na kutapakaa condom zilizotumika , sigara, bangi,

Kelele za muziki hadi asubuhi ni kawaida wanaume kuomba omba bia ni kawaida sana

CC . Dorothy GWAJIMA

USSR
Asante kwa taarifa mkuu, operation Kali itakuja kufanyika
 
Hii hipo hata hapa Sudan hotel ukiingia ndani umo usiku wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa za bia ukeni naomba pia serikali iingie usiku Katika hotel ya Sudan kwa chini wajionee jinsi wanawake wanavyosasambua
Sasa hivi bar za wacheza uchi zinazidi kuongezeka hapa mjini. Sio ukeni hadi mlango wa nyuma. Haya mambo tulizoea kuyaona Ambiance kila Jumapili saivi huduma zimesogezwa hadi mitaani
 
Hii hipo hata hapa Sudan hotel ukiingia ndani umo usiku wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa za bia ukeni naomba pia serikali iingie usiku Katika hotel ya Sudan kwa chini wajionee jinsi wanawake wanavyosasambua
Panaitwa Royal Giraffe kila Jtano Kuna Kigoma cha Uruguay Malaya wanacheza uchi unanunua maji madogo kwa buku 2000 unamtawaza mbususu huku baunsa anasaka wanaopiga picha awatie nakoZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa naamini yale maneno ya Bible kuwa itafika siku wanawake ndoa watalipia kila kitu ili mradi tu wapate mwanaume wa kuwasitiri kwa heshima na mwanaume huyo asiwape lolote zaidi ya jina.

Maana siku zinavyozidi kwenda jamii inageuka kuwa kiwanda cha kuzalisha vijana wahuni na mabinti makahaba wasiojali kesho wataishia wapi.

Sasa hii scenario umeielezea hapa ni sodoma na Gomorrah kabisa yaani.
 
Back
Top Bottom