DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huwezi kuta mafeminist wanaongea lolote juu ya hii scenario ambayo ndio ina madhara zaidi kwa mwanamke na mtoto wa kike.

Ila sasa kwenye maswala ya fursa za CCM, fursa za uongozi na kugombana na sheikh Ponda kuhusu umri wa kuoa huko ndiko hawa mbwa wanajua kuongea.
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
Wana ukimwi hao watoto wa mam Salma wama Nakayama wanasoma KIU
 
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili .

Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu (wanaitwa vunja) wenyeji wa hawapo wanadai kero kubwa ni kuokota used condoms nyingi inapokuchwa ni uuzaji wa miili na pombe kali

Kuna nyumba inaitwa (whitehouse) hii haina mwenyewe inamauzauza kila aliyejaribu kuishi alipata cha mtema kuni so hapo nipa kila mtu humo ndani ni madawa ya kulevya,ngono,bangi na mara nyingi unaambiwa ugomvi hutokea na huwa hakuna kuamualiwa.

Kwa taarifa za kiintelijensia wateja wengi ni raia waliojichokea ,wafasiri wanaokwenda mikoani au waliofika Dar maana mbezi Louis ndio kitovu cha safari, polisi, wanajeshi na walinzi wa biashara ni vijana wa ulinzi shirikishi, mabaunsa,

Wanawake wanaojiuza ni mix piss kali,wala bangi na madawa,ukiwaona huwezi kuamini kuwa wanajiuza hasa mitaa ya bar ya sun Sirro,bar ya Gods pub, Lubumbashi,B bar na maduka yanayouza bombe eneo hilo kama unatoka sun Sirro kupandish sokoni wamefunga barabara kwa magogo hawataki usumbufu.

Waathirika wakuu ni watoto wa shule maana eneo hilo linashule mbili kubwa ile mbezi na upendo, wapangaji wa eneo hilo na wananchi wa kawaida.

Inadaiwa polisi wa kituo cha Gogoni, Temboni,mazulu hupokea pesa kila siku ili wasiwasimbue,wengi wamepanga pia mitaa hiyo na kutoa huduma kwa bei ya 2000-3000 ,wapo watoto waliochini ya miaka 18 inadaiwa wametolewa mikoani hasa singida, kagera, Arusha, Kilimanjaro na nyanda za juu kusini.

Kwenye bar ya Gods kila jumapili usiku kuna wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa ya bia ukeni huku watu wakishangilia, uchi live

Eneo hilo lina harufu kali ya shahawa,kinyesi,na kutapakaa condom zilizotumika , sigara, bangi,

Kelele za muziki hadi asubuhi ni kawaida wanaume kuomba omba bia ni kawaida sana

CC . Dorothy GWAJIMA

USSR
vipepeo wausi washakusoma.subiri mrejesho.
 
kabla huja conclude kwanza pita hapo Nyasubi kahama.

Maneenah, yani ukipita mtaa wa nyuma unaweza hisi kuna maandamano ya wanawake

KUNA MBUSUSU ZIMEJIPANGA, UKIWA UNAPITA UNASHIKWA MKONO HALAFU UNATUMBUKIZWA KWENYE MBUSUSU ILI UONE KAMA NI MNATO AU INA MAJI

kama huamini unaambiwa udumbukize mborolo na upige tacco 3 za kudhibitisha kama mbususu ni Tamu na unaweza ukaacha na kusepa.

KUNA KARANGA ZA KUONJA, PIA KAHAMA KUNA MBUSUSU ZA KUONJA KABLA HUJAGONGA
 
We jamaa Dah

USSR
 
Ungekuwa umewahi kuishi Mnyamala, Kinondoni, Africa sana nk. Na umewahi kutembea mitaa ya buguruni mida ya USIKU, na tabata baadhi ya Maeneo alafu ndio ukaja kuishi Hapo jirani na Kituo cha Mbezi Shule basi usingeona ni maajabu baadhi ya uliyosema.

Maduka ya hapo Shule kwa Elia hua napita sana kununua Bidhaa za Nyumbani na hapo Sokoni na Hua napita hapo Lubumbashi kupiga Budweiser juu kwa juu hapo kuondoa uchovu ila sijawahi kushtushwa na chochote zaidi ya kuona watu wanatumia Fedha zao na wengine wanazitafuta.
 
Temeke Sudan Kuna jengo moja floor ya chini bank NMB, floor za kazi hotel ya Royal Giraffe na juu kabisa ndio balaa linapofanyika Kuna disco lina mziki mnene sana
4BC4ACF7-384D-449B-B2A8-4FF518984469.jpeg
 
Panaitwa Royal Giraffe kila Jtano Kuna Kigoma cha Uruguay Malaya wanacheza uchi unanunua maji madogo kwa buku 2000 unamtawaza mbususu huku baunsa anasaka wanaopiga picha awatie nakoZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanunua maji ya 2k unasuuza mbousouou 💦 😄 only a few can afford such kind of luxury 🍻
 
Ungekuwa umewahi kuishi Mnyamala, Kinondoni, Africa sana nk. Na umewahi kutembea mitaa ya buguruni mida ya USIKU, na tabata baadhi ya Maeneo alafu ndio ukaja kuishi Hapo jirani na Kituo cha Mbezi Shule basi usingeona ni maajabu baadhi ya uliyosema.

Maduka ya hapo Shule kwa Elia hua napita sana kununua Bidhaa za Nyumbani na hapo Sokoni na Hua napita hapo Lubumbashi kupiga Budweiser juu kwa juu hapo kuondoa uchovu ila sijawahi kushtushwa na chochote zaidi ya kuona watu wanatumia Fedha zao na wengine wanazitafuta.
Wewe unapita mchana na mitaa uliyotaja ilianza hivihivi na leo wanalingana haikuwa hivi zamani

USSR
 
kabla huja conclude kwanza pita hapo Nyasubi kahama.

Maneenah, yani ukipita mtaa wa nyuma unaweza hisi kuna maandamano ya wanawake

KUNA MBUSUSU ZIMEJIPANGA, UKIWA UNAPITA UNASHIKWA MKONO HALAFU UNATUMBUKIZWA KWENYE MBUSUSU ILI UONE KAMA NI MNATO AU INA MAJI

kama huamini unaambiwa udumbukize mborolo na upige tacco 3 za kudhibitisha kama mbususu ni Tamu na unaweza ukaacha na kusepa.

KUNA KARANGA ZA KUONJA, PIA KAHAMA KUNA MBUSUSU ZA KUONJA KABLA HUJAGONGA
Hivi mkuu Kahama mjini ni pazuri kiasi chake?..

Huduma muhimu kama maji,fresh foods,sehemu za starehe zipoje?
 
Back
Top Bottom