Hivi mkuu Kahama mjini ni pazuri kiasi chake?..
Huduma muhimu kama maji,fresh foods,sehemu za starehe zipoje?
Mkuu [mention]Darmian [/mention] MJI WA STAREHE ,MJI WA MALAYA WA VIWANGO ,MJI WA GUEST ,LODGE NYINGI
yani ukilala lodge ya 10,000 kahama hapo dar utaipata kwa 30,000 lodge za viwango vbya mno.
nimekaa morogoro, Dodoma na dar ila sijawahi ona sehemu unaweza ukavimba na 50,000 kuanzia msosi wa nguvu, bia, malaya na lodge juuu na chenji za supu asubuhi
mimi huwa naanzia hapa rocky point kwa serengeti lite kama 6, nahamua chillers kwnye bendi na kumalizia choma nalipa 5,000 kaunta nasepa na kaunta girl, nazama lodge ya 8000( hii lodge ya 8000 ni selfie safi na nzuri mzee) demu nampa 15,000 overnight. na asubuhi mdogomdgo kweny supu ya 3000. siku imeisha
hyo ndo bajeti yangu
bia 15,000( lites wanauza 1,500 =10 bottles)
Lodge 8000
Demu 15,000
Kumlipa meneja wa bar ili nisepe na demu -5000
boda jumla -2,000
supu - 3000
na vocha juuu
HII NDO BAJETI YANGU NA NAIFANYAGA MARA 2 kwa mwezi
daaah aiseee kahama ni balaaa