DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani nikisikia hizi story kuwa zinatokea Tanzania nashindwa kuelewa kama huwa tunaserikali inayozingatia hali za jamii yake.

Panya road, uchafu kama huo hata nchi zisizokuwa na utawala huwezi kukuta.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa God,niliwahi kwenda na shost enzi hizo naenda club,kufika saa 6 wakaanza kuonyesha vids za porn,alooh nilichoka nikamstua shost tukaondoka,hiyo inaitwa Dar es salaam usiku [emoji91][emoji91]

Jehanamu hiyo. Hivi ni sasa ama hata wakati wa Makonda haya mambo yalikuwepo?

Hapo ni lazima mambo ya kichawi yawe yanafanya kazi kwa wamiliki wa hizo bar.
 
Kweli wenye bahati mnazichezea sana...😋 maana sijawahi kuona mfungwa anae chagua gereza...😉
 
Hizo starehe kwa pesa yako Tanzania sio kisiwa.....hii sio Vatican nchi huru.....amua mambo yako usivunje sheria ukiona huwezi au hutaki basi usiende huko ....mbona rahisi tu ? Nchi huru yenye msingi sheria ! Night clubs zina kibali vyake unaenda kufanya nini huko ?
 
Na wewe una balaa zito mkuu , laki na nusu kila mwezi kwa ajili ya starehe yako ya kujitanua usife kihasara hasara.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] akitoka nyasubi asogee shamba la nyege runzewe anakutana na kumaa za kinyarwanda.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] akitoka nyasubi asogee shamba la nyege runzewe anakutana na kumaa za kinyarwanda.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Hii kahama ni geti la kuzimu mzeee.

Ntakuja kushusha uzi wa historia ya matajiri wa kahama namna wamefanya hawa wanawake wawe hivi- inahusiana na utajiri wa kishirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…