Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

primary nlikua maarufu kwa sababu nlikua na nywele za kipilipili shule nzma,nywele hazichaniki hata kwa dawa pia nlikua na viakili kidgo vya darasan...secondary ile nimeenda kuripot form one siku ya kwanza nkakuta darasa lipo kimya limezubaa zubaa nkajifanya born town nkawapigia kelele kumbe kuna second master yupo darasa la jirani,alinigonga fimbo kama 20 hv mbele ya form one wote....umarufu wa pili ulikuja miez mitatu badae hapa ndo shule nzma ilinitambua..ilikua simu ya school baraza kwa bahat mbaya zaid muda wa kwenda nyumbani ukafika huku kikao bado kinaendelea mimi bila idhini wala ruhusa yoyote kutoka kwa mwalim wala time keeper nkaenda kugonga kengele watu wakatawanyika kwenye school baraza...aiseee kilichonikuta ni siri yangu...mambo yapo mengi ngoja niishie hapa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mboga saba si anakujua lakini[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah mkuu u made my day
 
huenda na masihara lakini pia msichana akifika miaka 30 hajaolewa hua anaanza kuitafuta ndoa kwa nguvu sana, wengine mpaka wanachanganyikiwa

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Hilo ni kweli kama vile mwanaume akiwa na kibamia anavyodata
 
Mimi nilikua nasoma boarding, sasa nilikua sifahamiki kabisa shuleni icho kitu kilikua kinaniuzi sana, kuna siku ilikua graduation day. Muda wa chai ulivyofika niliwahi mapema kwenye foleni kuchukua chai hapo tulichanganyika na wageni wengine waalikwa zikawa kama shule tatu ivi. Sasa ilivyofika zam yangu kuchukua chai nika panda juu ya sufuria nikadumbukia kwenye chai na mabuti yangu, nikaogelea kama dakika mbili iv.kuanzia hapo Nilijulikana na shule zote za secondary za iringa. Ila ndo sikuendelea tena na masomo, niliungua sana, vidole sina, macho yenyewe hayaoni hata hii comment sijui kaniandikia nani, mi mshenzi sana pumbavu zangu
 
Umaarufu wangu primary nilikuwa nakimbiza balaa hasa math
O'level nilikuwa na kisauti chembamba mno maana ndio kwanza nilikuwa nimebalehe hivyo nikawa naona aibu kuongea mbesi maana sauti ilibadilika na kuwa nzito..
A'level na chuo sikupata umaarufu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary:
nilikua mchelewaji hatari kufika shule nakuta watu wameshaingia darasani wakati hizi kayumba sifa uwahi namba asubuhi, nilishindwa kabisa kuwahi maana lazima ninywe chai ndo niondoke home walimu walinichapa mpaka wakaacha.
Na tukiagizwa mifagio ya chelewa Mimi nilikua nachukua ile mirefu ya kufagilia uwanja nyumbani mda wa kuondoka nauacha nyuma ya kabati darasani na hauhibiwi maana ni mimi tu ndo nilikua nao .......maskini sikuwaga na aibu kabisa ahahahaah

Olevel: mtabe wao phy nikikosa swali mwl lazima aangalie Mara mbili mbili

Adv: usista duu maana nilichaguliwa mkoani huko so mm na rafiki angu ndo tulikua wajanja ,mtabe wa organic chem nilihakikisha hamna swali ambalo halitembei maana hii topic nilisoma tuit Mara 3 !!! Nikiwa naitwa mama organic ,nikaongoza mkoa !!

Chuo: hapo nilikua nipo ka sipo full kudoj class naingia siku ya presentation na pepa !!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushahidi tosha kuhusu namna mazingira ya nyumbani yanavyo-influence watoto. Imagine mzee angekuwa na machupa ya pombe tu... pengine leo we ndo ungekuwa Pierre Gumbo...[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…