mzee mbaya
Member
- Feb 7, 2017
- 33
- 30
jamaa mjinga kabisa sijui anadhani BBC SWAHILI IMEANZA NA KIKEKE hahahaAre you serious?
Wakati wa vita ya Ghuba ya Uajemi (Bush Mkubwa vs Sadam 1991) tulikuwa tunasikiliza kupitia DW na BBC Swahili kwa Short Wave frequencies.
Wewe utakuwa umeanza kusikiliza baada ya redio za FM kuja zikawa zinajiunga.
Ndio maana hata wewe umenunuliwa bando na shemeji yako kuja kuni-quote
jamaa mjinga kabisa sijui anadhani BBC SWAHILI IMEANZA NA KIKEKE hahaha
Safi sanaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi primary nilikuwa mkali wa English, halafu lilikuwa somo linalowatoa jasho wengi si unajua shule za vijijini, basi nikawa star mpaka shule za jirani wananijua
Uzur umeisha bwana, stress za hapa kazi tu na dunia hii basi tafrani tupu
Vunga basi hahhaha
jamaa mjinga kabisa sijui anadhani BBC SWAHILI IMEANZA NA KIKEKE hahaha
Atakuwa ameanza kusikiliza radio za FM zilipokuja, zikawa zinajiunga na matangazo hayo.
Nakumbuka DW kina Umrikheri (spelling sizijui haya) ana sauti yake hatujui ni mwanaume wala mwanamke.
Yule ni mwanamama mwanamke mkuu, sauti yake yenye madoido hauwezi badili stesheni asilani. Kulikua na Ramadhan Ali akitangaza michezo, Wajir Sheikh, Othman Miraji, Shangama kwakweli timu ilikua imekamilika.
Nakumbuka tokea kitambo nilikua msikilizaji mzuri sana wa radio. Ilikua inaanza Channel Afrika, inakuja DW kisha BBS namalizia na Sauti ya Amerika. hapo mchana sipitwi na DW ile saa saba. Sijutii ule muda, ulinifanya nijifunze na kujua mambo mengi sana.
Ukizingatia tumekulia ndani ndani huko hata kuliona gari ni muujiza.
Humu kila mtu alikua wa kwanza darasani....
Mijitu ikishakua mijitu mizima inakua miongo sana,this is insane!