Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Humu kila mtu alikua wa kwanza darasani....

Mijitu ikishakua mijitu mizima inakua miongo sana,this is insane!

Sasa mkuu thread yenyewe imeshasema umaarufu, unataka tuseme nini tena zaidi ya kuwa wa kwanza?
 
Mpira na akili kumkichwa kulinipa heshima sana. Nilikuwa fundi wa hesabu hatari kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu na totoz zilikuwa zinaniita Mr mathematics au Mr QM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwepo yaani mpaka wengine hunitania kwa kusema "we jamaa ulikuwa unatubania sana msosi, vipi hapo kwenye ghala la chakula maisha yapoje". Nabaki tu kucheka

Barafu la moto
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti kwny ghala la chakula!
 
Humu kila mtu alikua wa kwanza darasani....

Mijitu ikishakua mijitu mizima inakua miongo sana,this is insane!
Ikija threa ingine 'kwanini waliokuwa wanaongoza darasani hawafanikiwi kimaisha' hawa hawa ndio wachangiaji wanaofanikiwa kimaisha aka hawakuwa vipanga!
 
hahahaha..! nilikuwa mpiga kelele maarufu, kila mkiitwa hata kama nililala utasikia teacher "panya mabaka, njoo hapa, lala chini" yani nakula za maana alaf wengine wanaachwa! dah, shule hizi..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe kiboko mkuu
 
Nani kadanganya hebu mtaje, mbona watu mna wivu sanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mbona unajistukia mzee?

Unaanza kujitetea na kutetea group zima hata hujatajwa popote au kua addressed directly?

Cut the grass and snakes will show....
 
Ikija threa ingine 'kwanini waliokuwa wanaongoza darasani hawafanikiwi kimaisha' hawa hawa ndio wachangiaji wanaofanikiwa kimaisha aka hawakuwa vipanga!

Inaitwa Compartmentalization of the Highest Order!
 
primary mpk chuo kikuu nilikuwa na sifa kubwa mbili
1.Upole
2.Uwezo mkubwa wa kukariri
 
Unene na kelele vilinipa sana umaarufu o'level na advance
 
Mbona unajistukia mzee?

Unaanza kujitetea na kutetea group zima hata hujatajwa popote au kua addressed directly?

Cut the grass and snakes will show....
Ni wapi nimeonyesha kujistukia mkuu? mimi nilikuwa nataka udhibitishe madai yako.nKutoa madai bila ushahidi ni hatari kwa afya.
 
Primary = nilikua na akili balaa
Secondary= Mtu pori afu nafaulu balaa
Advance = Kushinda baharini afu nafaulu balaa
Degree= ubora kwenye kutengeneza vijiji siku za test na kudodge

Master's= No one gives a shit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi nimeonyesha kujistukia mkuu? mimi nilikuwa nataka udhibitishe madai yako.nKutoa madai bila ushahidi ni hatari kwa afya.

Kila comment,kila mmoja "I was very bright"...mara "Nilikua nawakimbiza darasani"...etc

Jeez,old people are lying like its nothing!

Pitia thread uone,ukisema hujaona utakua mchawi aisee!
 
Nakumbuka mi ndo nlikuaga bonge kuliko wote shule nzima, nlikua naitwa bonge, mara tipwa tipwa, mara tinginya daahh

nlikua nachukia sana makondakta wakiniita mtoto wa pepekale au mboga nane yaaani nalia mpaka nilipokuja kuzoea..


O level kampan yangu kubwa walikua masela tunachill zetu back bencha na wana wananiita disminder girl aisee hahahaaa na mi bichwa hiloooo ila namshkuru Mungu ilinisaidia sana sana yani ule usela wakawa wananialika discussion zao nikawa na good performance darasana kuliko madada duu wengine nikajikuta mwana balaa yani hadi madara mengine wananiita disminder hahahaaaa

Advance niliimba nyimbo ya Dully Sykes ( baby Candy) kwenye morning talk hahahaaaaaa mwalimu alibaki mdomo wazi ndo topic hii umeandaa kuzungumza mbele ya wenzako?? Watu wooooyooooooooooo vibe likaamka assemble Aliishiwa hadi nguvu za kunichapa akabaki kutuliza kelele hahahaaa... Wakaanza kiniita baby candy.

Chuo sikua maarufu mambo mengi mno



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary nilikuwa mkorofi sana ngumi njenje plus darasani kuanzia la kwanza hadi la 6 namba yangu ilikuwa ni 15-20 out of 25 students, lakni nilivyofika la saba nikashika namba 7 from no where.

O level nilijulikana kwa kunywa uji mwingi bila kutumia kitafunio chochote na pia class nilikuwa njema kwelikweli....

Advance nilikuwa mtabe wa chemistry...

Chuo bata sana na kula totoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…