Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Analipwa kiasi gani kwenye show moja?
Ah mzee sijui
Ila hata kama halipwi hela nyingi basi na uhakika mwaka huu na mwanzo wa mwaka jana tofauti itakua kuubwa sana

Saa nyingine inabidi jina likue kwanza ndo maokoto yaje
Unafikiri mpaka mond kumuomba kwenye nyimbo ni jambo dogo hilo🤔
 
Jaymelody alifanyiwa interview na East Africa tv hapo ilikuwa mwaka jana before hata kukutana na mondi akaulizwa kati ya mil 50 na kufanya collabo na diamond kipi anachagua akajibu collabo na diamond kwasababu anaweza kuvuna zaidi ya hiyo 50M kutokana na ukubwa wake na ngoma zake kwenda mbali zaidi kimataifa.
 
Back
Top Bottom