Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Vyovyote tu utakavyoona. Diamond ana mikwaju ya maana kama mawazo, moyo wangu na nyinginezo za zamani, napenda mziki wake ila wa zamani na si sasa. Huo unao upigia promo ujifungie ndani kwako uusikilize mwenyewe.
Nmekosa[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wimbo utakuwa hit kwa sababu wote wana majina, ila wimbo mbaya jamani beat mbovu tushasikiliza kwenye ngoma nyingi hasa za WCB, hata Mond mwenyewe kaimba hovyo. Jay melody na Blue wameua though.
 
Hpa ndipo ninapoipenda jf kesho ukija ukiwauliza nyimbo gn ya bongoflava umesikiliza leo wote wanataja nyimbo za mbele huku wakikandia kutokusikiliza bongoflava. Hahah this is jf
 
Hapo hakuna wimbo mimi nimesikia taarabu lenye michano ya kale kwa mbaaali. Labda wajaribu kuisample na hiyo akiwamo Kiba na Kondeboy wawe wa5 labda🚮
 
Kwa upande wangu Ngoma naweza kuipa rate ya 7.5
Na msanii alieupiga mwngi kuliko wenzake kwa mpangalio nitaanzaa na

1. Jay melody
2. Mr blue na mwisho namweka
3. Diamond Platinum

Ngoma ni nzuri ila sio Kali kihivyo sio hit song
Hv yule video queen sio hamisa mobeto jaman?
 
Kwa upande wangu Ngoma naweza kuipa rate ya 7.5
Na msanii alieupiga mwngi kuliko wenzake kwa mpangalio nitaanzaa na

1. Jay melody
2. Mr blue na mwisho namweka
3. Diamond Platinum

Ngoma ni nzuri ila sio Kali kihivyo sio hit song
Hv yule video queen sio hamisa mobeto jaman
 
Wimbo utakuwa hit kwa sababu wote wana majina, ila wimbo mbaya jamani beat mbovu tushasikiliza kwenye ngoma nyingi hasa za WCB, hata Mond mwenyewe kaimba hovyo. Jay melody na Blue wameua though.
Unaposema diamond kaimba ovyo umeangalia nini mpaka umesema hivyo?
 
Imefkia hatua nikiskia nyimbo mpya imetoka nataka niskilize kwanza kwa jirani kabla ya kudown load ili kuepuka kuharibu muda, MB na storage ya kiswaswadu changu!!!!!
 
Back
Top Bottom