Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo mbaya mkuu kuliko Ukubwa wao beat melody mbaaayaaUmejuaje kama sio hit song? Na ili iwe hit song unataka iweje?
Kuna nyimbo nyingi zimetolewa hivi karibuni kwa nini umeileta hiyo?
Anhaa hahaa haa🤣🤣🤣Hamna wimbo hapo!
Nyiee....Ngoma ni nzuri ila sio Kali kihivyo wote wameimba vzr
Aisee..!!Kwa upande wangu Ngoma naweza kuipa rate ya 7.5
Na msanii alieupiga mwngi kuliko wenzake kwa mpangalio nitaanzaa na
1. Jay melody
2. Mr blue na mwisho namweka
3. Diamond Platinum
Ngoma ni nzuri ila sio Kali kihivyo sio hit song
Hakuna wimbo hapo takatakaHuu ni mtizamo wako binafsi, usifosi kila mmoja auchukie wimbo, hii ngoma mi binafsi nimeisikiliza Mara nyingi mno, so baki na msimamo wako, but usifosi wote tuione ngoma ni mbaya, kwangu Mimi hii ni ngoma Kali na itafanya vizuri
Ulitaka iweje ili uione nzuri?Nyimbo mbaya mkuu kuliko Ukubwa wao beat melody mbaaayaa
Kwanini uliachaMkuu,
Mimi nimesha fanya mziki najua so Sina sababu ya kua hater for what??!!
Na nyimbo zangu ghetto enzi za ujana so all in all wimbo ni mbovu huwezi fananisha na ENJOY au KOMANDO
[emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji4]
Hio ni ogHii Ngoma Beat Yake Sio Ngeni Kabisaaa masikioni Mwangu, Kuja Jamaa Kaimba sio Mbongo kama sikosei
Nikumbusheni basi
HaterNyimbo mbaya mkuu kuliko Ukubwa wao beat melody mbaaayaa
Subiri Baada ya siku kadhaaHamna wimbo hapa, labda kwa vile tumezoea Diamond kutoa hits, ila huu hapa hamna kitu na hamna haja ya kuitana haters ,wimbo ni mbovu haswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio BUFA ni woofer.....au sub wooferJuzi nimekuja huku New York City vacation Sasa usiku Baada ya hili goma kutoka nimefungulia bufa Hadi mwisho nikajisahau kama nipo mbeya ..... mara paaap police hawa...
Hili goma ni balaa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app