Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Inapendeza vijana mkichangamsha majukwaa namna hii japo wimbo siufahamu sina la kutia neno
 
Mkuu,
Mimi nimesha fanya mziki najua so Sina sababu ya kua hater for what??!!

Na nyimbo zangu ghetto enzi za ujana so all in all wimbo ni mbovu huwezi fananisha na ENJOY au KOMANDO

😀😀😊😊😊
Preference zako haziwezi ku judge ukali wa ngoma, hii ni ngoma Kali subiri baada ya wiki moja utaelewa, Tabasamu ilivyopiga Mara ya kwanza watu wali ikataa, ili tunaojua mziki tulijua ni suala la muda, that is origins and pure bongo flavor
 
Huwezi fananisha tabasamu na vitu vya ovyo ovyo kama wewe hukukubali ni wewe..

Ila wengine tumejaaliwa uwezo wa juu kujua kitu kizuri....easy sio siri wamepuyanga..
 
Huu ni mtizamo wako binafsi, usifosi kila mmoja auchukie wimbo, hii ngoma mi binafsi nimeisikiliza Mara nyingi mno, so baki na msimamo wako, but usifosi wote tuione ngoma ni mbaya, kwangu Mimi hii ni ngoma Kali na itafanya vizuri
 
Back
Top Bottom