Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteMkuu ubarikiwe sana, natamani ungeweka details zako Simu na upatikanapo for more consultation
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Inawezekana mkuuMtaala nisaidie hili juzi Kati TV ilikua imezimwa na socket pia lkn ilipiga radi tv ikaungua” hii InaweZekana ama vijana wamenipa sounds [emoji28]
Tupo kwenye matumizi makubwa Alooooooohh ni zinaisha balaaa!
Tupo kwenye matumizi makubwa Alooooooohh ni zinaisha sio kidogo
Hii kwa hiyo hata circuit breaker nayo haikukata?[emoji1666][emoji1666][emoji1666] jf kweli shule
Siku moja home umeme ulikua unaisha balaaa
Tukaita fundi alikuja akaangalia
Kumbe panya walitafuna waya ukagusanisha umeme na kile chuma
Kufukua kike chuma tukakuta chamoto kinoma
Akatengeneza na kubadili chuma pia
Tangu hapo ni safi
Asante mkuu
Mkuu unataka kuniambia live wire ikigusana na earth wire circuit breaker hai break? Kwanini maana earthing system iko kama neutral huoni kama kukutana na live ni sawa na short circuit?(kama earthing system iko active).Circuit breaker siyo kazi yake kuzuia umeme usivuje, utavuja Tu kama kuna tatizo.
Socket za zamani zilikuwa ni double pole kiasi kwamba ukizima live na neutral zinaachana na zile za output ila sasa hivi double pole unaikuta kwenye dp switch na cooker switch tu!Hii inawezekana kabisa!! Maana power socket inazima waya mmoja either live au neutral hapa ina depend na aliyekufungia wiring
Kamatia hapo hapoHivi umeme unawezaje kuvuja ukiwa na Circuit Breaker?
Mkuu unataka kuniambia live wire ikigusana na earth wire circuit breaker hai break? Kwanini maana earthing system iko kama neutral huoni kama kukutana na live ni sawa na short circuit?(kama earthing system iko active).
Nawasikia mafundi umeme wakisema leakage, hivi hii leakege kwenye wiring ya umeme inakuwaje?
Mkuu Mimi natumia units 6-7 Kwa siku ambazo naona ni matumizi makubwa kuliko uhalisia.Nyumbani mna nini na nini?