dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
miaka ya nyuma kidogo, izo circuit breakers(RCDs) zilikuwa na tripping sensitivity ndogo, 30mA, zingine mpaka 10mAHivi umeme unawezaje kuvuja ukiwa na Circuit Breaker?
ikawa zinaleta false positives nyingi hasa kipindi cha mvua umeme unakatakata sana,
Makampuni yakabadili sensitivity na kuiinua kidogo ili kuondoa false positives za umeme kukatakata, Tronic na wengineo wakaja na RCDs za 300mA, ambayo kimsingi ni kubwa sana
so kukiwa na leakage current ya below 300mA, circuit break haitazima/kata, na utaendelea kuliwa umeme wako
leakages pia inachangiwa na size ya earth wire uliotumia toka kwenye DB mpaka ardhini, usiwe chini ya 4mm² , earthrod inabidi iwe ya pure copper na bei ni 50k kwenda juu, kiasi cha mkaa/chumvi ulichofukia kwa earthpit, etc