Je, umeme wako (units za luku) unaisha sana? Zingatia yafuatayo

Hivi umeme unawezaje kuvuja ukiwa na Circuit Breaker?
miaka ya nyuma kidogo, izo circuit breakers(RCDs) zilikuwa na tripping sensitivity ndogo, 30mA, zingine mpaka 10mA
ikawa zinaleta false positives nyingi hasa kipindi cha mvua umeme unakatakata sana,
Makampuni yakabadili sensitivity na kuiinua kidogo ili kuondoa false positives za umeme kukatakata, Tronic na wengineo wakaja na RCDs za 300mA, ambayo kimsingi ni kubwa sana

so kukiwa na leakage current ya below 300mA, circuit break haitazima/kata, na utaendelea kuliwa umeme wako

leakages pia inachangiwa na size ya earth wire uliotumia toka kwenye DB mpaka ardhini, usiwe chini ya 4mm² , earthrod inabidi iwe ya pure copper na bei ni 50k kwenda juu, kiasi cha mkaa/chumvi ulichofukia kwa earthpit, etc
 

Mkuu kama nlivyosema awali kua
Vitu vya umeme havipimwi kwa aina ya kifaa
Bali kwa watts zake
Hivyo nkijua watts ya kila unachotumia naweza kujua sasa unatumiaje
 

KATAA NDOA[emoji23][emoji23][emoji23]

By the way umenena vyema champ[emoji110]
 




Japo nimechelewa kuona hii post, kitu nachoweza kukwambia ni kuwa fundi wako alikupa Panadol sio dawa ya kumaliza tatizo kabisa. Kwanini? Kama ulivyosema kulikuwa na Earth leakage, basi kwa CB za kisasa ilipaswa kutrip kabla ya kumwita fundi. Mlipaswa muwe giza mapema sana, chakushangaza mkaendelea kutumia umeme huku mkiatariisha usalama wenu. Kwa kifupi, ni kuwa mfumo wa protection kwenyu iyo nyumba upo hovyo. Hivyo, tegemea kuwa siku pakitokea tatizo kubwa zaidi, kutawaka moto fundi kakimbilia kupiga tepue pale palipo chubuliwa na panya na kubadilisha Earth rod. Kanakwamba hao panya hawataendelea kuwepo au kwa hiyo hawatakula tena waya? Vipi wakirudia tena? Vipi ikiwa mtatumia kifaa kibovu na hakuna real protection hapo? Kilichofanyika hawali kipo sahihi lakini fundi alipaswa kubadilisha CB maana inaonekana haikufanya kazi yake ipasavyo na iyo ni dalili tosha kuwaeilishakufa.
 
🤔🤔
 
Kuna Nyumba Naishi Apa Yani Mdaa Wa Kulala Nazima Taa Ila Bado Inakuwa Inatoa Mwanga Kwa Mbali , Hii Shida Nini Hasa
 
Kuna Nyumba Naishi Apa Yani Mdaa Wa Kulala Nazima Taa Ila Bado Inakuwa Inatoa Mwanga Kwa Mbali , Hii Shida Nini Hasa
 
Asante sana 💯
 
Kuna Nyumba Naishi Apa Yani Mdaa Wa Kulala Nazima Taa Ila Bado Inakuwa Inatoa Mwanga Kwa Mbali , Hii Shida Nini Hasa
1 yawezekana kuna current leaked hivyo inakupa ishara kua earthing yako haiko oky
2 kuna baadhi ya taa hasa za waats 10 kuja chini kua zina capacitor ndan hivyo chaja hujibakiza kiasi ukizima taa inakua inaonekana nyeupe kidogo sana
 
1 yawezekana kuna current leaked hivyo inakupa ishara kua earthing yako haiko oky
2 kuna baadhi ya taa hasa za waats 10 kuja chini kua zina capacitor ndan hivyo chaja hujibakiza kiasi ukizima taa inakua inaonekana nyeupe kidogo sana
Nimekupata vyema
 
Kwa taa tu peke yake hapo kwa siku kama zikiwaka jumla ya saa 11 utakuwa umetumia watts 1,320 kwa siku yaani Unit 1.32. Hapo bado fridge na wengi wqnapenda ya mtumba yametengenezwa miaka 10 iliyopita. Pia Microwave na TV kagua watts zake.

Unaweza kukuta Microwave ina watts 3,200 hizo dakika 10 ni sawa na unit 0.53 kwa siku.

Kikubwa tununue vifaa kwa malengo, watts ziandane na mahitaji yetu.
 
Fridge na AC zote zinatumia Compressor, Kwa nini AC inavyonza unit badala yabkunusa kama Fridge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…