Je umemruhusu mke/mpenz wako aende kusalimia Christmas? Mwenzio kaenda kupasha kiporo huko

Je umemruhusu mke/mpenz wako aende kusalimia Christmas? Mwenzio kaenda kupasha kiporo huko

Mwanamke ni kiumbe ambacho huwezi kukichunga kwa 100%. Mpe uhuru kama kugongewa utagongewa tu hiyo haina ubishi. Kama unawaza kugongewa mkeo, utagongewa tu. Unaweza kumuwekea hata walinzi 70 lakini kwenye hao walinzi 1 atakula mzigo tu.
Mkuu nakubaliana nawe asilimia mia mwanaume unakubali vp aende mwenyewe na wewe upo tu
 
Mwanamke ni kiumbe ambacho huwezi kukichunga kwa 100%. Mpe uhuru kama kugongewa utagongewa tu hiyo haina ubishi. Kama unawaza kugongewa mkeo, utagongewa tu. Unaweza kumuwekea hata walinzi 70 lakini kwenye hao walinzi 1 atakula mzigo tu.
Mkuu mbona huna maneno ya kututia imani japo kidogo
 
Yan kama una mkeo,dem ambaye ni mchaga na amekuja moshi kusalimia na ww unaemmiliki si mchaga

Kama umemeuhusu kuja moshi LAZIIMA ATOMBWE TU........... Mabwana zake wa zaman tupo huku na hawara hanaga talaka

Kama unamaindi njoo mchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najitahidi sana kukwepa gunia la dhambi sasa naona mtu kajipa gharama mwenyewe kuja huku mbali machinjioni, aaahh dhambi zote zake mimi simo.
Ila mdogo wake hakuna jinsi maana anajua anachokifanya si sahihi pia.

Wakijuana akili zitawarudi katika ndoa zao.
Natamani nitoe ushauri naona bora nitulie tu.
Hahahahaahhahahaaha unajua we jamaa unaroho mbaya sana
Ngoja nimalize kubandika gundi juu ya paa langu la bati. Mvua hii na hawa viumbe, mara na kwangu paa linavuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli. Tafuta pesa, mpende mkeo, mjali na muoneshe unaweza kumuacha wakati wowote ule. Mwanamke anaweza kugongwa muda wowote na mahali popote. Unaenda kazini huku nyuma mkeo unamuacha nani?, anapoenda sokoni?, anapoenda kwenye nyumba za ibada?, anapoenda kuoga? anapoenda dukani? anapoenda kwenye msiba?, anapoenda kwa jirani yake? anapoenda clinic kumpeleka mtoto? kama ni mfanyakazi huko kazini unaenda naye? Hizi zote ni gap za mkeo kuliwa. "Kasome kwenye uzi wa kula tunda kimasihara"
Mkuu mbona huna maneno ya kututia imani japo kidogo
 
Wacha wapashe tu maana hata mm napashaga huku huku bila yy kusafir,na vingine sio viporo,nakula chakula saafi kimepikwa leo leo na bado chamoto,ni kupakua tu na kumeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan kama una mkeo,dem ambaye ni mchaga na amekuja moshi kusalimia na ww unaemmiliki si mchaga

Kama umemeuhusu kuja moshi LAZIIMA ATOMBWE TU........... Mabwana zake wa zaman tupo huku na hawara hanaga talaka

Kama unamaindi njoo mchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mtatufanya tuwafuate madem zetu usiku huu
 
Back
Top Bottom