McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
Mwanamke ni kiumbe ambacho huwezi kukichunga kwa 100%. Mpe uhuru kama kugongewa utagongewa tu hiyo haina ubishi. Kama unawaza kugongewa mkeo, utagongewa tu. Unaweza kumuwekea hata walinzi 70 lakini kwenye hao walinzi 1 atakula mzigo tu.
Mkuu nakubaliana nawe asilimia mia mwanaume unakubali vp aende mwenyewe na wewe upo tu