Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Watakutana na wale wapenzi wao wa zamani watapasha kiporo kipindi hiki.....we unajua kaenda kusalimia wazazi ndugu na jamaa lakin kaa ukijua kiporo kinapashwa huko brooo amkaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha koment ya kufunga mwakaNi sawa tu, hata hivyo shamchoka
Ila inauma
Hahahahahaha koment ya kufunga mwaka
Kulaleki si mnaona jamaniKupasha mara moja kwa mwaka sio dhambi
Mkuu naanza kukuelewa sasa kwakweli hawa viumbe ni homa ya jijiHawana maana hao watu. Ukitaka kujua nenda magereza, watu wana kesi mbaya sana ukichunguza chanzo ni mwanamke, wacha waliwe
Mkuu nakubaliana nawe asilimia mia mwanaume unakubali vp aende mwenyewe na wewe upo tuHila eti mke wangu kipindi hiki cha sikukuu ananiacha (na watoto kama tunao) kwenda kwao kula sikukuu? Mwanaume wa aina hiyo kaishapoteza nguvu za kummiliki mke! Kwanini asiende siku nyingine?
Watakutana na wale wapenzi wao wa zamani watapasha kiporo kipindi hiki.....we unajua kaenda kusalimia wazazi ndugu na jamaa lakin kaa ukijua kiporo kinapashwa huko brooo amkaaaa
Hahahahaahhahahaaha unajua we jamaa unaroho mbaya sanaMpaka sasa hakuna namna yoyote, nimejitahidi kumwekea vikwazo vya Viza na nauli mpaka nilipo kwa kuiheshimu ndoa yake, Hollaa bado kajaa ganzi akilini.
Kuna picha ya mdogo wake alinipostia kimakosa wakiwa bwiiii japo aliifuta papo hapo kwangu ilibaki kipindi natumia gb whatsaap, niliwapostia wote kwa pamoja wakiwa wote, tena kwa kumsifia alivyojaliwa, ili tu kumpunguza moto wanione mshenzi pia Holaaaa .
Na ili kumpa stress akate tamaa nikamtongoza mdogo wake macho makavu video call live akiwepo japo hakusikia mazungumzo pia Holaaa
Dogo katoa underground Green Light atapiga kimya.
Sasa natoka airport kumchukua.
Kule mdogo mtu sina namna itabidi tu......
Bora wanione mshenzi ili wabaki salama na ndoa zao, na mimi wanipunguzie gunia la dhambi.
BTW mkata utepe hasahauliki.
Sent using Jamii Forums mobile app