Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

Kuna mtu leo kanichekesha ofisini anasema aliachana na mkewe sababu alimsave "saidi fundi majeneza" akaonahapa shughuli kwisha
 
Kuna mmoja nilikuta kanisave Geographer[emoji3][emoji3][emoji3]nilijiskia vibaya sana na ndo ikawa sababu ya kuto m consider as prospective wife candidate
 
Mmh siwezi kusave hivi aiseee na tangu nianze mahusiano sijawahi kumsave mtu hivi ukiona nimemsave jina la mahaba labdaa kama nataka nimtumie screenshoot nikimaliza nafuta nasave jina lake au ukoo wake
Tapeli wewe [emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza nichekee
 
Tapeli wewe [emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23]sio tapeli yaani kumsave mpnz hivyo siwezi yaani ukigusa simu yangu namba niliyoisave kilomantiki ni ya dada angu tu “ lovely “nae nimesave tangu 2014 sijawah kubadilisha… Nampenda sana dada angu na siwezi kubadili
 
Mmh siwezi kusave hivi aiseee na tangu nianze mahusiano sijawahi kumsave mtu hivi ukiona nimemsave jina la mahaba labdaa kama nataka nimtumie screenshoot nikimaliza nafuta nasave jina lake au ukoo wake
Akili kama yangu yan namsave jina lake akitaka nimtumie namtumia ikiwa na jina zuri session hiyo ikipita bas jina lake linarudi 😀 Ilikuwaga miaka ile nikiwa na mpenzi now sijui hata yanaendeleaje
 
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.

Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?

Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Jina baya sana BONZACLADO🤣
 
Kuna mmoja nilikuta kanisave Geographer[emoji3][emoji3][emoji3]nilijiskia vibaya sana na ndo ikawa sababu ya kuto m consider as prospective wife candidate
ITAKUWA UNASAFIRI SAFIRI SANA...NA ALICHOKA...AKAAMUA KUKUSAVE HIVYO KWA KUCHUKIA...
 
JINSI UNAVYOSAVE JINA LA MKE WAKO VIZURI...NDIVYO KUNAVYONONESHA PENZI...NA KADIRI UNAVYOMWAMBIA MKEO "NAKUPENDA" NDIVYO INAVYOSIRIBA WINO WA MAPENZI KWENYE MOYO...

AND VISE VERSA IS TRUE.
 
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.

Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?

Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Siku nikigundua kanisave tofauti na jina langu achilia mbali majina ya kimahaba ndio siku ambayo tunapigana chini hapo hapo bila kukupesa macho.Sababu kama ameshindwa ni save na Love emoj basi anisave my official name sio majina ya ajabu ajabu hapana kwa kweli.
 
Kwani umejifunza ubondia wa aina gani mashuati au karatee😂😂😂
 
Back
Top Bottom