JOSEPH SAKI
Senior Member
- Jun 28, 2013
- 110
- 16
Sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa petroleum technologist nilikua napenda sana pharmacy,lakini mara baada ya kugundulika kuwepo kwa mafuta na ges TZ wakati hakuna wataalamu wa hiyo fani,nikaamuwa kwa moyo m1 kujikita huko ili niikomboe jamii ya kitanzania...nikaijaza chaguo la kwanza na pharmacy chaguo la pili... wamenitupa petroleum chemistry udsm,am on ma way to serve our poor nation
mko poa twapendwa? mi mwenzenu nimeridhika na nilichopata! oil sumu usiniponde please!
vyenye majina ya watakatifu vimezidi khaa! Yaan yuko dogo ana E E F wamemchukua! Hawaachi k2! Mpigamsuli & oilsumu wkt mwingine wako sawa kuviponda hivi vyuo.
hongera kwa kuchora ramani mpya ,wengi wanasahau wanachotaka na kuishia kufanya chochote kilicho mbele yake.
Ahsante mkuu! nafahamu "where there is determination, gentlemen can make wonders" wewe mweka thread na mimi nliyeitazama kwa upana tunayo zaidi ya haya tunayoyaandika na cha msingi tuitake jamii ya kiuniversity 1st yr ambao vichwa vimeshika moto sasa kwa kupata wasichotamani watulie na waone ni challenge ambayo wanayo na waikubali. Wavae moyo na hisia za gentlemen, wadetermine. They will surely make wonder.
Ahsante kwa uzi mzuri mkuu, Binafsi sikuwahi kuwaza cku moja ntaitafuta nafac ya kufanya baed udsm lakin ilinbidi kuhangaika sana kuipata baada ya ramani yangu kupotea 2010, nashukuru Mungu nliichora upya, napenda pia wewe ulopata kile ambacho umepata usiumie moyo bali mshukuru Mungu wako, uridhike na uwe tayari kutumika ktk kada husika kwa sababu maisha ni zaidi ya tunavyoyaona. Kumbuka kuwa maisha yataendelea hata baada ya degree ya kwanza na tunao muda wa kukamata opportunity nyingine. Kila la kheri kwa mwaka wa kwanza wote wa Vyuo Vikuu Tanzania.
Kama kozi yako ipo kwenye zile big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance, ndio uridhike nayo hio kozi
acha kujishaua bro! kwahiyo katika hizo kama hakuna hata moja nnayoipenda inakuwaje? mi nimeridhika na niliyochaguliwa na ndo ninayoipenda! we umechaguliwa ipi?
Mimi nipo Masters ya Law
teh! Teh! Teh! Nimelipenda onyo!
Wamenipeleka Mipango
Bachelor Degree in Dvt Planning
Naomben ushaur wenu kua nibadilishe au vp?
wamenipeleka science with education udsm yan wameniharhia future yangu ya kuwa docta ila cjui nibadilshe plz naomben ushaur wenu wadau