Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

kwa Tanzania hapa big 5 inategemea we unamjua nani na anafanya ofisi gani, watu wapo makazini vitu walivyosoma havifanani na kazi wanazofanya na bado wanalipwa vizuri 2. Make connections that is what important.

mwambie dogo. Asione wakubwa zake hadi tumeamua kurud vyuoni kwa faculty zingine akadhan ni wajinga.
 
ya kwako unayosoma mbona hamna hapo ile ya chuo cha ushirikaa moshii..(procurement and marketing)! Au ndo itakuwa kwenye big 1000...! hahaahaahaaha mpigachaboo

Mkuu nitake radhi sisomi kozi za ajabu
 
Last edited by a moderator:
building economics

dogo karibu sana SCEM ni course inayokuandaa kuwa quantity surveyor..! Inapatikana ardhi university tuu kwa tanzania na university of nairobi kenya.! So ukisoma hiyo course kampuni zote za ujenzi iwe private au serikalini panakuhusuu as mkadiriaji majenzi..! Karibu aruuuu-uclas chuo bora TANZANIA
OverR
 
Last edited by a moderator:
nmekusoma bro upo mwaka wa ngapi
 
Mkaka mimi nipo Bsc in maths & xstics. Sijui hii ikoje na ground yake ni wapi???
 
draw combined graph of rain and temperature...ha ha ha..

hahaahaha dogo hiyo upande wa geography..! Kwenye pure math sasaaa yaan ndo ilikuwa topic rahisi, mtu anayeshindwa hiyo alikuwaa kilazaaaa
 
hahaahaha dogo hiyo upande wa geography..! Kwenye pure math sasaaa yaan ndo ilikuwa topic rahisi, mtu anayeshindwa hiyo alikuwaa kilazaaaa

kwenye pure ukikutana na ile stak nataka 2 yenye probability dah ! Ila haikuwa ngumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…