Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
256
Reaction score
567
No reforms no election.

Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo uliipokeaje?
 
Mimi huwa naitwa mstaarabu sana.
Ninda nae kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…