Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
KisiwaHicho kijiji kiko nchi kavu au ni kisiwa?
ndio mila zao?Huko ni nyumbani kwa Waruri na Wakwaya, nakumbuka mzee baba ulishawahi kutupa dondoo za dem wako mpya, mtoto wa Kikwaya.
Vipi ndio umepelekwa home kutambulishwa?
Huko kuna wachawi balaandio mila zao?
Itakuwa mzawa au unapafaham mpaka kujua kuna wachawi balaa, hebu tupe dondoo kidogo.Huko kuna wachawi balaa
ita pendeza...Itakuwa mzawa au unapafaham mpaka kujua kuna wachawi balaa, hebu tupe dondoo kidogo.
Huko ndio kwetu aisee, huko bhana ukiwa tepetepe unakwenda na maji.Itakuwa mzawa au unapafaham mpaka kujua kuna wachawi balaa, hebu tupe dondoo kidogo.
Huko siku zote walikuwa wanajua Nyerere ndiye mtawala, hadi alipoingia Magufuli ndio wakajua ndio rais wa piliHao nao bado tunawaita wa-Tanzania au ni watanganyika?
Usiache pia kwenda Nyambitilwa na Ikungu Lya BashashiNahitaji kwenda kusurvey maana nasikia sana then niende na gamboshi
Mwanza nako kuna kisiwa kinaitwa Juma kina mambo kama hayo.Kisiwa
Huko hamna hospitali hivyo huwa wanavuka kwenda Musoma mjini wakitaka kujifungua.Huruhusiwi kuingia na WATOTO...kwa hiyo ukiwa na watoto unahama hicho kijiji? na hurudi mpaka wakue !!!
Kama ndivyo kinawezaje kuendelea kuwa na kizazi kipya mpaka sasa?!!!