Je, umeshawahi kusikia kijiji cha Nyeregenge kilichopo Musoma?

Je, umeshawahi kusikia kijiji cha Nyeregenge kilichopo Musoma?

Mama mjamzito haruhusiwi kuingia ina maana wanaoishi huko hawapati mimba na wanawake wa huko hawapati siku zao
Nyeregenge ni kijiji kinachopatikana Musoma vijijini mkoani Mara.

Kijiji hiki hakina shule, hakikuwa na msikiti wala kanisa, na kimepata kanisa lake la kwanza miaka ya hivi karibuni, 2017 ambapo Wakatoliki wamejenga kanisa.

Kijiji hiki kina watu waliobobea kwenye mila na tamaduni ambapo hadi leo watoto mapacha, albino, walemavu na njiti hutupwa kwenye msitu wa kafara.

Huwezi kuingia Nyeregenge kama umebeba nyama mbichi, una jeraha, wanawake wakiwa kwenye siku zao nao hawawezi kuingia, kwani lazima utakufa.

Mama wenye ujauzito na wenye watoto hawaruhusiwi kuingia ndani ya Nyeregenge.

Hakika Tanzania ni kubwa sana na ina mengi sana hayajaandikwa
 
Na maeneo kama ayo kufikiwa na maendeleo huwa ni shida sana
 
Mkoa wa Mara naupenda maana wanawake wa kijita watamu sana.
 
Back
Top Bottom