Je, umeshawahi kusikia kijiji cha Nyeregenge kilichopo Musoma?

Pia nasikia msitu wake kuna kuku weusi tuu ambao wanajifuga wenyewe hamna mmiliki
 
Huo msitu uko wapi ukianzia Mgango mpaka Musoma mjini kuna msitu upi? VICHAKA VICHACHE VIPO.Kuna kilima kule majita mwishoni kunaitwa Kurugee ndio najua watu wanapelekaga wanyama wanakaa huko( BUSEKELA?) halafu ukiwahitaji kuchinja unaenda kuwachukua. Hakuna wizi ila naskia kuna mtu AMEWANYANG'ANYA HUO MLIMA KUWA ANAWEKEZA. HAO KUKU WEUSI WANAOKAA MSITUNI NINGEENDA KUWACHUKUA TU KWA KITOWEO.
 
Huko ndio kwetu aisee, huko bhana ukiwa tepetepe unakwenda na maji.

Huko hata mzawa akienda nje ya kisiwa, akiwa anarudi lazima atambike kwanza ndipo aweze kuingia kisiwani, vinginevyo anafia majini
Ujue sijakuelewa bado, andika kiutu uzima not as insta or tweeter reply dogo.
 
Matangazo ya redio yanafika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…