Je umeshawahi kuwa na mpenzi nje ya nchi yako.? Tupe experience mahusiano yalidumu kwa muda gani

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
369
Reaction score
431
Habari Wakuu, kuna hili suala la watu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wakiwa nchi tofauti. Mfano mmoja yupo Tanzania na mwingine yupo kati ya nchi mojawapo ya Ulaya au America au Australia au Asia. Naomba nipate uzoefu jinsi ya kuyaendesha haya mahusiano hasa kwenye upande wa mawasiliano na namna ya kuendelea kudumisha hisia kati yenu
 
Mimi nilikuwa nae Ulaya mangaribi mwa Mikumi, naruhusiwa kuchangia ?

1790818515688.png
 
Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
 
Mjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?

Wanaume tunazalisha manii milioni za kutosha Kila siku, imagine umekaa siku 365 hujaona ndani, si utatembea zikiwa zinakaribia kupasua makende 🤪

Anyways, mkiwa kwenye long relationship, kujichua hakukwepeki kwa wote waaminifu
 
Habari Wakuu, kuna hili suala la watu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wakiwa nchi tofauti. Mfano mmoja yupo Tanzania na mwingine yupo kati ya nchi mojawapo ya Ulaya au America au Australia au Asia. Naomba nipate uzoefu jinsi ya kuyaendesha haya mahusiano hasa kwenye upande wa mawasiliano na namna ya kuendelea kudumisha hisia kati yenu
Ngumu sana kuoa race tofauti na nchi yako halafu mkadumu.

Culture differences ni janga kwenye uhusiano - Hamuwezi kudumu labda mmoja awe mtumwa.
 
Mjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?

Wanaume tunazalisha manii milioni za kutosha Kila siku, imagine umekaa siku 365 hujaona ndani, si utatembea zikiwa zinakaribia kupasua makende 🤪

Anyways, mkiwa kwenye long relationship, kujichua hakukwepeki kwa wote waaminifu
Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,
Kwani babu na wewe zinajaa nilijua ushazeeka umewaachia vijana😂
 
Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Good 👍
Hata mahusiano ya karibu yanaweza kuwa worst kuliko mahusiano ya mbali mkijua kumanage mawasiliano na ukaribu zaid
 
Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Kikubwa kwa mwanaume lazima chuma kizame! Bila kuzamisha chuma, yote ni ya bure. Inashindikana mtu yupo Chalinze na Dar, sembuse TZ na Ulaya!
 
Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,
Kwani babu na wewe zinajaa nilijua ushazeeka umewaachia vijana😂
Nimetoa uzoefu wa mwaka 47 tu, babu yenu saivi hata mwendo wa round 1 tu naishia njiani 🤭

Wajukuu saivi naishia kuwasimulia hadithi, nashangaa wewe hata hutaki kunitembelea japo kuniletea Kiko 🤪

Koh koh koh
 
Mjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?

Wanaume tunazalisha manii milioni za kutosha Kila siku, imagine umekaa siku 365 hujaona ndani, si utatembea zikiwa zinakaribia kupasua makende 🤪

Anyways, mkiwa kwenye long relationship, kujichua hakukwepeki kwa wote waaminifu
Nilikuwa sijakusoma. Bila Chuma kuzama, ni uongo wa mchana
 
Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,
Kwani babu na wewe zinajaa nilijua ushazeeka umewaachia vijana😂
Ukizoea jamaa yangu aloita takataka kutoka ndani ya mwili wa mtu; hata unyetuke mara 100 mwili hauridhiki hadi uguse mwili wa mtu.
 
Oil ya gari inashauriwa Kila baada ya muda kwenda kuimwaga 🤗

Na kama hujamwaga oil muda mrefu, unaweza kujikuta unatembea muda wote mnala wa babeli upo juu tu
Wenzetu huwa hawajui hili, maana wao wakijimwagia maji ya moto, nyege zinaisha
 
kabla sijatoa ushuhuda mnambie kwanza kama Kenya ni nchi ya nje nisije nikajimaliza kumbe kuna watu wanafika na kurudi kwa kutembea
Watoto wa sirari wanaenda kusoma Kenya kila asubuhi na kurudi nyumban.
Kenya siyo nje ya nchi.

Tunazungumzia nchi za kuomba Visa
 
Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Mallerina njo uone mrembo.
 
Wenzetu huwa hawajui hili, maana wao wakijimwagia maji ya moto, nyege zinaisha
Si unajua mwili ukiwa sio wako sio rahisi kuujulia

Kuna wakati nilikaa miezi 14 hivi na ushee bila kuona ndani, ilifikia wakati muda wote mnala unasoma tu 🙌

Ni mwendo wa kutembea mkono umeweka mfuko, kuepusha aibu ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom