win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
nimelia sana, ngoj nikae kimya basiWatoto wa sirari wanaenda kusoma Kenya kila asubuhi na kurudi nyumban.
Kenya siyo nje ya nchi.
Tunazungumzia nchi za kuomba Visa
nimelia sana, ngoj nikae kimya basiWatoto wa sirari wanaenda kusoma Kenya kila asubuhi na kurudi nyumban.
Kenya siyo nje ya nchi.
Tunazungumzia nchi za kuomba Visa
Hata ukimuona mtu kama Dr. Mariposa ingawa unajua hashabikii vyuma, bado CCM Juu inakubamiza bila huruma. Hiyo khali isikie kwa jirani. Inauma ajabu. Ndiyo maana Machangu (kama Ukimwi usingekuwepo) walikuwa wakombozi wa Wanaume tuliooa ila K tunazisikia kwa jirani.Si unajua mwili ukiwa sio wako sio rahisi kuujulia
Kuna wakati nilikaa miezi 14 hivi na ushee bila kuona ndani, ilifikia wakati muda wote mnala unasoma tu 🙌
Ni mwendo wa kutembea mkono umeweka mfuko, kuepusha aibu ndogo ndogo
Hahaha.......ni mateso kwa kweliHata ukimuona mtu kama Dr. Mariposa ingawa unajua hashabikii vyuma, bado CCM Juu inakubamiza bila huruma. Hiyo khali isikie kwa jirani. Inauma ajabu. Ndiyo maana Machangu (kama Ukimwi usingekuwepo) walikuwa wakombozi wa Wanaume tuliooa ila K tunazisikia kwa jirani.
Hii watu wanachukulia poa lakini ndio chanzo kikubwa kinachopelekea mahusiano kufa kote long distance na pika pakua.MAWASILIANO
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuu ..Habari Wakuu, kuna hili suala la watu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wakiwa nchi tofauti. Mfano mmoja yupo Tanzania na mwingine yupo kati ya nchi mojawapo ya Ulaya au America au Australia au Asia. Naomba nipate uzoefu jinsi ya kuyaendesha haya mahusiano hasa kwenye upande wa mawasiliano na namna ya kuendelea kudumisha hisia kati yenu