Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 369
- 431
Mjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Ukiirusha hiyo fimbo kwenye target,kwa mvurumusho mkali na umakini,nyoka anakufa kirahisi tu.Fimbo ya mbali haiui nyoka
Ngumu sana kuoa race tofauti na nchi yako halafu mkadumu.Habari Wakuu, kuna hili suala la watu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wakiwa nchi tofauti. Mfano mmoja yupo Tanzania na mwingine yupo kati ya nchi mojawapo ya Ulaya au America au Australia au Asia. Naomba nipate uzoefu jinsi ya kuyaendesha haya mahusiano hasa kwenye upande wa mawasiliano na namna ya kuendelea kudumisha hisia kati yenu
Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,Mjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?
Wanaume tunazalisha manii milioni za kutosha Kila siku, imagine umekaa siku 365 hujaona ndani, si utatembea zikiwa zinakaribia kupasua makende 🤪
Anyways, mkiwa kwenye long relationship, kujichua hakukwepeki kwa wote waaminifu
Good 👍Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Kikubwa kwa mwanaume lazima chuma kizame! Bila kuzamisha chuma, yote ni ya bure. Inashindikana mtu yupo Chalinze na Dar, sembuse TZ na Ulaya!Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Nimetoa uzoefu wa mwaka 47 tu, babu yenu saivi hata mwendo wa round 1 tu naishia njiani 🤭Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,
Kwani babu na wewe zinajaa nilijua ushazeeka umewaachia vijana😂
Nilikuwa sijakusoma. Bila Chuma kuzama, ni uongo wa mchanaMjukuu, unadhani hili likifanyika, litaondoa mbadala wa nyege?
Wanaume tunazalisha manii milioni za kutosha Kila siku, imagine umekaa siku 365 hujaona ndani, si utatembea zikiwa zinakaribia kupasua makende 🤪
Anyways, mkiwa kwenye long relationship, kujichua hakukwepeki kwa wote waaminifu
Oil ya gari inashauriwa Kila baada ya muda kwenda kuimwaga 🤗Nilikuwa sijakusoma. Bila Chuma kuzama, ni uongo wa mchana
Ukizoea jamaa yangu aloita takataka kutoka ndani ya mwili wa mtu; hata unyetuke mara 100 mwili hauridhiki hadi uguse mwili wa mtu.Upo sahihi babu ndio maana kwenye hayo mawasiliano lazima mambo ya kunyetuka yatakuwepo tu,
Kwani babu na wewe zinajaa nilijua ushazeeka umewaachia vijana😂
Wenzetu huwa hawajui hili, maana wao wakijimwagia maji ya moto, nyege zinaishaOil ya gari inashauriwa Kila baada ya muda kwenda kuimwaga 🤗
Na kama hujamwaga oil muda mrefu, unaweza kujikuta unatembea muda wote mnala wa babeli upo juu tu
Watoto wa sirari wanaenda kusoma Kenya kila asubuhi na kurudi nyumban.kabla sijatoa ushuhuda mnambie kwanza kama Kenya ni nchi ya nje nisije nikajimaliza kumbe kuna watu wanafika na kurudi kwa kutembea
Mallerina njo uone mrembo.Siku hizi teknolojia imerahisisha sana hakikisha mawasiliano kati yenu hayalegei,
Pigianeni video calls pikeni na mle pamoja, angalieni movies pamoja, someni vitabu pamoja, ambianeni kila mnachofanya na mnapoenda na muoneshane mlipo, chezeni games za online pamoja, kiufupi MAWASILIANO yawe imara na muweke ubunifu msichokane
Si unajua mwili ukiwa sio wako sio rahisi kuujuliaWenzetu huwa hawajui hili, maana wao wakijimwagia maji ya moto, nyege zinaisha