Je umeshawahi kuwa na mpenzi nje ya nchi yako.? Tupe experience mahusiano yalidumu kwa muda gani

Si unajua mwili ukiwa sio wako sio rahisi kuujulia

Kuna wakati nilikaa miezi 14 hivi na ushee bila kuona ndani, ilifikia wakati muda wote mnala unasoma tu 🙌

Ni mwendo wa kutembea mkono umeweka mfuko, kuepusha aibu ndogo ndogo
Hata ukimuona mtu kama Dr. Mariposa ingawa unajua hashabikii vyuma, bado CCM Juu inakubamiza bila huruma. Hiyo khali isikie kwa jirani. Inauma ajabu. Ndiyo maana Machangu (kama Ukimwi usingekuwepo) walikuwa wakombozi wa Wanaume tuliooa ila K tunazisikia kwa jirani.
 
Hahaha.......ni mateso kwa kweli

Huwa nawaonea huruma wanaoishi mbalimbali na wake/waume zao

Kama sio mtu wa imani, unaweza kuangukia dhambini na ukapata na magonjwa ya STDs
 
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuu ..
99%ni usaliti..
Hakuna mapenzi ya kwl.
 
Wanaweza wazungu ila kwa black labda yawe maigizo unapiga au anapigwa ila anaigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…